Nape: Mimi ni member wa Jamii Forums

Ana ID Mbili , moja ina Jina la Nape na ni Verified na nyingine ni ID fake sitaitaja kwa sababu za kulinda maadili ya JF
 
hana ngozi ngumu huyo miyeyusho tu alishaniblock Twitter kisa kumchana ukweli kisa kupanda bei bando
 
Mhe Nape tupo nayw humu ndiyo. Mwmber since 2012
 
Hana lolotee zaidi ya kuwa mlamba Asali maarufuu aliyejawa na kiburi na Zarau

Huwezi kutujibia maswali ya wananchi Bungeni kwa dharau
 
Nape Nnauye
Hii kaitumia mara ya mwisho June, 2020.
Atakuwa na nyingine basi
 
Kama ataendelea kuwa mtetezi wa makampuni ya simu badala ya wananchi ataendelea kutukanwa
 
Huyo bwana toka ahemuke na afunge bunge live hajawahi pata heshima. Wanasiasa wanafiki sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…