Nape: Mimi ni member wa Jamii Forums

Nape: Mimi ni member wa Jamii Forums

A
Kama kweli ana ngozi ngumu, atutajie ID yake humu! Maana wenzake akina Zitto, na Mwigulu pumzi zimekata! Wengine akina Juliana Shonza, hata hawajulikani waliko!

Au ndiyo huyu nanihii huyu mwenye hii ID hapa........!!!
Akitaja ID yake atakufa Kwa presha. Jamaa fala sana. Niliwahi kulikuta sehemu Moja Lina hutubia nikaliukuza swali likakaa kimya kwani halikuwa na jibu,.

Mwizi mkubwa wa bando
 
Waziri wa Mawasiliano ambaye ni mgeni rasmi wa kutoa zawadi za stories of change amesema yeye ni member wa Jamii Forums.

Amesema tofauti na wengine yeye ana ngozi ngumu ya kustahimili matusi. Na wakati mwingine huwa anayasoma kabla ya kulala.

Possibly Nape anatumia ID ambayo haijulikani so kuweni makini mnapotukana watu.

Nafuatilia youtube
Nape mbona alikuwa a Varified account kama sijasahau
 
Waziri wa Mawasiliano ambaye ni mgeni rasmi wa kutoa zawadi za stories of change amesema yeye ni member wa Jamii Forums.

Amesema tofauti na wengine yeye ana ngozi ngumu ya kustahimili matusi. Na wakati mwingine huwa anayasoma kabla ya kulala.

Possibly Nape anatumia ID ambayo haijulikani so kuweni makini mnapotukana watu.

Nafuatilia youtube
Wewe ndio unashangaa nape wakati hata jiwe alikuwemo huku...viongozi wote waserikali wapo humu..mana humu ndio sehemu pekee watanzania watasema ya moyoni.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwanini utukane watu ? Unapata faida gani ukimtukana mtu?

Mtu akinitukana hua namwambia tusi halichubui ngozi

Imeisha iyo
 
Waziri wa Mawasiliano ambaye ni mgeni rasmi wa kutoa zawadi za stories of change amesema yeye ni member wa Jamii Forums.

Amesema tofauti na wengine yeye ana ngozi ngumu ya kustahimili matusi. Na wakati mwingine huwa anayasoma kabla ya kulala.

Possibly Nape anatumia ID ambayo haijulikani so kuweni makini mnapotukana watu.

Nafuatilia youtube
Kama anajiamini kwanini asiwe verified user?
 
HV leo nape alifanya Kaz ngapi kwa siku mnk hapa namuona akiwa Zanzibar alfu mchna sijui nilimuona wapi

Jioni amekuja kuropoka hapa jf kwenye halfla ya utoaji tuzo
 
Wewe ndio unashangaa nape wakati hata jiwe alikuwemo huku...viongozi wote waserikali wapo humu..mana humu ndio sehemu pekee watanzania watasema ya moyoni.

#MaendeleoHayanaChama
Jiwe alitumia ID ipi?[emoji34][emoji34][emoji34]
 
Waziri wa Mawasiliano ambaye ni mgeni rasmi wa kutoa zawadi za stories of change amesema yeye ni member wa Jamii Forums.

Amesema tofauti na wengine yeye ana ngozi ngumu ya kustahimili matusi. Na wakati mwingine huwa anayasoma kabla ya kulala.

Possibly Nape anatumia ID ambayo haijulikani so kuweni makini mnapotukana watu.

Nafuatilia youtube
Huenda ni akina Bia yetu au yule Fallacy😂😂
 
Waziri wa Mawasiliano ambaye ni mgeni rasmi wa kutoa zawadi za stories of change amesema yeye ni member wa Jamii Forums.

Amesema tofauti na wengine yeye ana ngozi ngumu ya kustahimili matusi. Na wakati mwingine huwa anayasoma kabla ya kulala.

Possibly Nape anatumia ID ambayo haijulikani so kuweni makini mnapotukana watu.

Nafuatilia youtube
Watu wananunua watu
 
Back
Top Bottom