Bitoz Jobiso
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 925
- 1,202
ndio mimi hapa mnasemaje sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafahamu ya Chui jike na pia huyo pena.Ninaijua aidii ya bi hangaya. Ilikuwaga active sana kabla ya u vp hahaha.
Akitaja ID yake atakufa Kwa presha. Jamaa fala sana. Niliwahi kulikuta sehemu Moja Lina hutubia nikaliukuza swali likakaa kimya kwani halikuwa na jibu,.Kama kweli ana ngozi ngumu, atutajie ID yake humu! Maana wenzake akina Zitto, na Mwigulu pumzi zimekata! Wengine akina Juliana Shonza, hata hawajulikani waliko!
Au ndiyo huyu nanihii huyu mwenye hii ID hapa........!!!
Hana huo ubavu😂😂Ataje ID yake kuthibitisha ugumu wa ngozi yake
Nape mbona alikuwa a Varified account kama sijasahauWaziri wa Mawasiliano ambaye ni mgeni rasmi wa kutoa zawadi za stories of change amesema yeye ni member wa Jamii Forums.
Amesema tofauti na wengine yeye ana ngozi ngumu ya kustahimili matusi. Na wakati mwingine huwa anayasoma kabla ya kulala.
Possibly Nape anatumia ID ambayo haijulikani so kuweni makini mnapotukana watu.
Nafuatilia youtube
Unataka unataka kusema je hapa😂😂🤗Faiza level ingine ile. She is very smart ukiacha fanatism.
Fala moja ambae hakubaliki jimboni kwake.Nape ni mpuuzi kama wapuuzi wengine tu
Wewe ndio unashangaa nape wakati hata jiwe alikuwemo huku...viongozi wote waserikali wapo humu..mana humu ndio sehemu pekee watanzania watasema ya moyoni.Waziri wa Mawasiliano ambaye ni mgeni rasmi wa kutoa zawadi za stories of change amesema yeye ni member wa Jamii Forums.
Amesema tofauti na wengine yeye ana ngozi ngumu ya kustahimili matusi. Na wakati mwingine huwa anayasoma kabla ya kulala.
Possibly Nape anatumia ID ambayo haijulikani so kuweni makini mnapotukana watu.
Nafuatilia youtube
Kwanini utukane watu ? Unapata faida gani ukimtukana mtu?Waziri wa Mawasiliano ambaye ni mgeni rasmi wa kutoa zawadi za stories of change amesema yeye ni member wa Jamii Forums.
Amesema tofauti na wengine yeye ana ngozi ngumu ya kustahimili matusi. Na wakati mwingine huwa anayasoma kabla ya kulala.
Possibly Nape anatumia ID ambayo haijulikani so kuweni makini mnapotukana watu.
Nafuatilia youtube
Kama anajiamini kwanini asiwe verified user?Waziri wa Mawasiliano ambaye ni mgeni rasmi wa kutoa zawadi za stories of change amesema yeye ni member wa Jamii Forums.
Amesema tofauti na wengine yeye ana ngozi ngumu ya kustahimili matusi. Na wakati mwingine huwa anayasoma kabla ya kulala.
Possibly Nape anatumia ID ambayo haijulikani so kuweni makini mnapotukana watu.
Nafuatilia youtube
Jiwe alitumia ID ipi?[emoji34][emoji34][emoji34]Wewe ndio unashangaa nape wakati hata jiwe alikuwemo huku...viongozi wote waserikali wapo humu..mana humu ndio sehemu pekee watanzania watasema ya moyoni.
#MaendeleoHayanaChama
Huenda ni akina Bia yetu au yule Fallacy😂😂Waziri wa Mawasiliano ambaye ni mgeni rasmi wa kutoa zawadi za stories of change amesema yeye ni member wa Jamii Forums.
Amesema tofauti na wengine yeye ana ngozi ngumu ya kustahimili matusi. Na wakati mwingine huwa anayasoma kabla ya kulala.
Possibly Nape anatumia ID ambayo haijulikani so kuweni makini mnapotukana watu.
Nafuatilia youtube
Haujui unachati na nani
Watu wananunua watuWaziri wa Mawasiliano ambaye ni mgeni rasmi wa kutoa zawadi za stories of change amesema yeye ni member wa Jamii Forums.