Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ana ID Mbili , moja ina Jina la Nape na ni Verified na nyingine ni ID fake sitaitaja kwa sababu za kulinda maadili ya JFWaziri wa Mawasiliano ambaye ni mgeni rasmi wa kutoa zawadi za stories of change amesema yeye ni member wa Jamii Forums.
Amesema tofauti na wengine yeye ana ngozi ngumu ya kustahimili matusi. Na wakati mwingine huwa anayasoma kabla ya kulala.
Possibly Nape anatumia ID ambayo haijulikani so kuweni makini mnapotukana watu.
Nafuatilia youtube