Nape: Mimi ni member wa Jamii Forums

Nape Nape Nape, kweli kama unaisoma hii comment yangu basi tambua yafuatayo.
1: Watanzania walikusamehe na kurejesha Imani juu yako na kufuta mabaya yako yote ulipomuomba msamaha Dkt Magufuli, na walikuonea huruma baada ya kufiwa na Dkt Magufuli. Ila ulivuruga pale tu ulipoonesha kushangilia kifo cha Dkt Magufuli, wewe unaweza usitambue kabisa chuki kuu iliyo juu yako ila hilo lifahamu doa ulilojiwekea kwa watanzania wengi ni baya mno. Je nafasi unayo? Jibu ni ndiyo? Wewe umri wako bado, unaweza kuomba tena msamaha na kurekebisha yote. Ngoja niwahi jumuia
 
Amekuambia kuwa na Yeye kwa hiyo ID yake ya Kificho huwa hatukani Watu / Hatutukani hapa Critics wake?

Niulizie Ratiba yake ya Leo ( kama yuko Kwake pale Kawe Beach ) katika Nyumba yake iliyo Mita chache tu na Bahari na pia akiwa Jirani na Kiongozi Mkuu wa Kanisa la EFATHA Mwenge Mzee Mwingira ili 'nikambandulie" Dada wa Kazi ( House Maid ) wake mzuri kuliko hata Wake za Watu walio Jirani nae pale.
 

ukimwambia mtu jpm hajawahi kuwa fala,hawezi kukuelewa haraka haraka mpaka muda upite kwanza.
 
Chuki ilizaliwa pale JPM alipoanza kula chakula cha Nape. Nape kwa kuona hivyo akataka kupanga shambulizi badala yake akajikuta ameshambuliwa kwa ghafla bila yeye kujua.

Hivyo kilichotokea ni kuzidiana maarifa tu.

Kama ni msamaha walipaswa kuwaomba wa TZ kwani ndio walikuwa wapishi wa chakula kilichokuwa kinagombaniwa.
 
Awe member, asiwe member. Hafai hata kuwa Diwani. Hajui hata Ratio ya thamani ya Pesa kwa MB na Speed ya internet.
 
Ma legend tunaijua ID yake tulishamdukua kitambo tu na kilichinishangaza ni ule mchango wake kule kwenye uzi wa kula tunda kimasikhara ana stori zake mbili moja aliuza mechi[emoji41]
 
This is true, Nape ni mwenzetu humu, tupo naye kwa ID yake ya nape mnauye, ila pia yupo yupo!.
Mwenye ngozi ngumu ni hapa JF ni Pascal Mayalla wengine ngozi ya u-bwbw
Naomba kuthibitisha ni kweli ana ngozi ngumu!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…