Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
wewe na Nape ni yupi anayeifahamu ilani ya ccm ?Toka 1975 Mradi huu wa Stieglers ulijadiliwa bungeni...sasa kwenye hansard za bunge nini ilikuwa conclusion?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe na Nape ni yupi anayeifahamu ilani ya ccm ?Toka 1975 Mradi huu wa Stieglers ulijadiliwa bungeni...sasa kwenye hansard za bunge nini ilikuwa conclusion?
[HASHTAG]#KutokaBungeni[/HASHTAG]: Waziri wa zamani na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (CCM) ameishangaa Serikali kuweka nguvu nyingi kwenye mradi wa umeme wa Stigler’s George ambao haupo kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2015 na kuachana na umeme wa gesi ambao waliunadi wakati wa kampeni.
pengine hufatilii au umewehuka....juzi Mh Rais kazindua kinyerezi iiiMshika mawili moja humponyoka saiv gesi hatusikii tena nchi ina viongoz wa ajabu sana
Ndiyo ajue kuwa ilani si katiba na haitekelezeki isipokuwa mipango yake ikipitishwa bungeni au baraza la madiwani na kufanywa mipango ya serikali. Watu wanapiga kelele kila siku kuhusu utekelezaji wa ilani kana kwamba ni automatic. Ilani si chochote isipokuwa kama imeridhiwa na vyombo vya dola kutekelezwa kama mpango wa serikali.[HASHTAG]#KutokaBungeni[/HASHTAG]: Waziri wa zamani na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (CCM) ameishangaa Serikali kuweka nguvu nyingi kwenye mradi wa umeme wa Stigler’s George ambao haupo kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2015 na kuachana na umeme wa gesi ambao waliunadi wakati wa kampeni.
Stiegler gorge hata kipindi cha JK iliongelewa sema haikuanza kutekelezwa tu, nadhani Nnape angeuliza tu kama suala la gas limeachwa au vipi? Maana kama tumeachana na mradi wa gas kweli basi tunafanya makosa makubwa sana. Ni bora tungemaliza mradi wa gas kwanza then tuanze na stieglers gorge. Tunahitaji umeme wa kutosha hasa if we real want an industrialised Tanzania.Basi ata stiegler gorge ilikuwepo tokea enzi za Nyerere pia mkuu.
Nape kaonesha dhahiri ana chuki dhidi ya Mheshimiwa tokea afutwe Uwaziri.
Nadhani sio yote aliyoongea ni ya hovyo, tuchukue yale mazuri tuyafanyie kazi na yale ya hovyo tuyaache. Kwanza ni vyema tukajua je ni kweli issue ya gas imewekwa pembeni? If not then ajibiwe tu. Je issue ya mbaazi na korosho ni kweli? If not ajibiwe tu. Ila kusema stieglers gorge haikuwepo kwenye ilani so isitekelezwe hapo ni kupitoka, rais akitekeleza ya kwenye ilani na akaenda extra mile inapendeza so long as ni kwa maswali mapana ya nchi. Na pia kama kuna miradi ambayo ni white elephant projects akaamua kuiacha hata kama ipo ndani ya ilani sio kosa kabisa, kosa ni pale kama ataacha miradi yenye tija na maslahi mapana kwa taifa na kutekeleza miradi isitokuwepo kwenye ilani na haina tija wala maslahi mapana kwa taifa.Bila kumng"unya maneno Nape sasa amekuwa barrier kwa policies na mtazamo alio nao Rais JPM. Hapana shaka tangu atenguliwe kwenye nafasi ya uwaziri kwa kiasi kikubwa has positioned himself as an agent of the opposition ndani ya chama chake tawala. I wonder, CCM kama chama kina mtazamo tofauti na JPM kuhusu mradi wa Stigler's as long as ni mradi as maendeleo. Inatosha to conclude bila chembe ya aibu kwamba matamko na critics za Nape kuhusu maamuzi ya Rais ni issue ya personal grudges towards the president. And as such, ningetamani kuona anawajibishwa accordingly.
Huyu hajui kuwa UMEME wa gas ni very expensive sana, UMEME wa maji ndo mpango mzima Dunia nzina, wanategemea UMEME wa maji, makaa ya mawe, wind turbine, nuclear energy, UMEME wa gas ni kwa ajili ya emergency tu.Waziri wa zamani na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (CCM) ameishangaa Serikali kuweka nguvu nyingi kwenye mradi wa umeme wa Stigler’s George ambao haupo kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2015 na kuachana na umeme wa gesi ambao waliunadi wakati wa kampeni.
Huyu mbunge kwa sasa naona angeendelea kukaa kimya. Kwenye ilani ya uchaguzi kulikuwa na kipengele cha kuhakikisha umeme unapatikana nchi nzima pamoja na vijijini. Hivyo basi kutokana economic projection inayohusiana na nishati imeonekana ni busara kutap cheap hydro electric energy ya Stiglers' ambayo imekuwa kwenye makabrasha miaka mingi na ilishindikana kwa sababu ya raslimali fedha. Kwa sasa pengine serkali imeona ni wakati muafaka kutekeleza mradi huu ambao utaongeza nishati hii rahisi maradufu ili iendane vizuri na sera ya viwanda.Waziri wa zamani na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (CCM) ameishangaa Serikali kuweka nguvu nyingi kwenye mradi wa umeme wa Stigler’s George ambao haupo kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2015 na kuachana na umeme wa gesi ambao waliunadi wakati wa kampeni.
bora walivyomvua uwaziri tumemjua.Kwani kuhamia Dom ipo kwenye ilani, Nape anazidi wehuka.
Hii la hiyo stigler ilikuwa planned since Nyerere era, likewise kuhamia Dom.
Bora lakini kaonyesha his real colors
Huyu dogo apunguze unafki na hasira za kupigwa chini uwaziri. Kimsingi tangu atenguliwe uwaziri haishi visirani vya kipuuzi.Waziri wa zamani na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (CCM) ameishangaa Serikali kuweka nguvu nyingi kwenye mradi wa umeme wa Stigler’s George ambao haupo kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2015 na kuachana na umeme wa gesi ambao waliunadi wakati wa kampeni.