Nape: Mradi wa umeme wa Stiegler's Gorge haupo kwenye ilani, sie tulinadi mradi wa gesi. Huu tumedandia tu

Nape: Mradi wa umeme wa Stiegler's Gorge haupo kwenye ilani, sie tulinadi mradi wa gesi. Huu tumedandia tu

Cha ajabu baada ya hoja ya Nape niliona watu 2 waandamizi ndani ya bunge (ccm) walimshambua sana, ila walichokuwa wakiongea kutokana na elimu yao hazikuwa hoja bali mipasho na hoja dhaifu zilizokosa uelewa na mashiko.
 
..... Kwani Uwanja wa ndege Chato ulikuwemo kwenye ilani?

Bombardier na Terrible Twins zilikuwemo kwenye ilani?

Kuhamia Dodoma kulikuwepo kwenye ilani?

Million 50 kila kiji zilikuwepo kwenye ilani?

..... kama CCM wangekuwa wanatekeleza ilani yao kwa miaka yote hiyo 57, basi nchi hii ingekuwa mbali sana!!
 
Nape mbona unatumia akili ndogo sana ! mlipokuwa mnaahidi Tz ya viwanda mlijua viwanda mtaviendesha kwa nguvu ya soda? kwani huko mnakoandaa ilani yenu huwa hamna strategies za kutimiza ilani hizo ? kama huwa mnazo hizo strategies za kutimiza ilani yenu, huwezi kuikwepa hii ya stieglers gorge ili kutimiza hiyo ahadi yenu ya TANZANIA ya viwanda inawezekana.

Kwa suala la maendeleo ya TZ weka pempeni tofauti zako na mteuzi wako,tunataka nchi isonge mbele doesn't matter who concerned kuleta maendeleo, huu mradi usipofanyika msitegemee kufanikisha hiyo ilani yenu ya tanzania ya viwanda.

Tunataka uhuru wa kiuchumi ,nishati ya umeme ina mchango mkubwa sana ktk kufanikisha hilo, nape acha kuwa kigeu geu,kama unaona mkuu wako kakurupuka huku kwenye stieglers gorge basi team nzima ya kIJANI mlikurupuka maana hamkujua namna ya kufikia lengo lenu. Naunga mkono maendeleo ya TZ yangu
Gesi na Stiegler ni industry moja ya umeme kama mliinadi ilani ya umeme wa gesi y umekimbilia umeme wa maji hadi mvua inyeshe? Watz tuna akili ndogo ndio maana masikin anachoeleza Nape ni Umeme uleule ila kulingana na Ilani ya chama chake Gesi kwanza na sio maji ya Rufiji. So nani kasema umeme wa Maji unaleta maendeleo na wa Gesi hauleti maendeleo
 
Bila kumng"unya maneno Nape sasa amekuwa barrier kwa policies na mtazamo alio nao Rais JPM. Hapana shaka tangu atenguliwe kwenye nafasi ya uwaziri kwa kiasi kikubwa has positioned himself as an agent of the opposition ndani ya chama chake tawala. I wonder, CCM kama chama kina mtazamo tofauti na JPM kuhusu mradi wa Stigler's as long as ni mradi as maendeleo. Inatosha to conclude bila chembe ya aibu kwamba matamko na critics za Nape kuhusu maamuzi ya Rais ni issue ya personal grudges towards the president. And as such, ningetamani kuona anawajibishwa accordingly.
Huyu Kwa sasa anasumbuliwa Na attention seeker , Na kingine ni kuangalia matokeo Yake ya Shule yalikuwaje, maana uelewa wake wakupambanua mambo ni questionable, hivyo Cha kufanya ni kumnyima hiyo attention anayotaka Na kumucha aele pekee Yake Kama vile a loose ball. Then all of sudden atashtukia mpira umekwisha Na wa kucheza naye hayupo
 
Sawa kabisa, si haya aliyoeleza yalishaisha toka kitambo! Katiba ilishabadilishwa sasa mwisho wa uongozi wa chama unajulikana, si ndiyo?

Ruzuku sikuhizi inafika hadi kwenye matawi.

Hakuna ushahidi wa upendeleo kwenye uteuzi wa nyadhifa mbalimbali ikiwemo ubunge wa viti maalumu.

Haya ni zilipendwa.
Na hakuna ushahidi kuwa fedha zinatumika vibaya kwani mkaguzi CAG hajapata husema hivyo zaidi ya wanaccm kusema upumbavu huo mitandaoni.
Hata huo uteuzi hakuna ushahidi kuwa watu wanawekwa mabibi zao zaidi ya wapumbavu wachache wa Lumumba kufanya huo ni wimbo wao.
Una la ziada?
 
Huyu Kwa sasa anasumbuliwa Na attention seeker , Na kingine ni kuangalia matokeo Yake ya Shule yalikuwaje, maana uelewa wake wakupambanua mambo ni questionable, hivyo Cha kufanya ni kumnyima hiyo attention anayotaka Na kumucha aele pekee Yake Kama vile a loose ball. Then all of sudden atashtukia mpira umekwisha Na wa kucheza naye hayupo
You are right
 
Back
Top Bottom