Nape na Makamba mjue kujaribu kumshusha thamani Hayati Magufuli, ni sawa na kumfuata mamba kwenye kina kirefu cha maji

Nape na Makamba mjue kujaribu kumshusha thamani Hayati Magufuli, ni sawa na kumfuata mamba kwenye kina kirefu cha maji

Wanachi wapi unaowasemea labda?,acha ujinga sema ww na familia yako au ww na hawara yako
Tukilinganisha majibu yako na point za mleta mada, tunajua nani mwenye akili ndogo na nani mwenye uwezo mkubwa wa akili.
 
Alichosema, taarifa zinadaiwa/takiwa ili kuthibitisha matumizi mabaya/wizi zitatoka kwa wahusika walewale waliyokuwa na Magufuli. Je, watatoa taarifa za kujiwekea pingu...Makamu wa Raisi wa sasa na wa Magufuli (Raisi), Waziri Mkuu, n.k.
Wakificha maelezo ndio vizuri maana itaidhinisha uhusika wao.
 
Kwanini usimshukuru mungu wako ili aiondoe ccm inayokutesa kila siku?

Na vipi baada ya mungu wako kumuondoa dhalimu mko vizuri sasa ee?

Tuko vizuri kinoma.
 
Hii awamu ya sita wajitenge tu na Mwendazake,tuone ubavu wao.
Ndo watajua hii nchi inaishi kwenye kivuri Cha Mwendazake.

Mwendazake alisema chanjo hazifai na huyupo,wamejaribu kuwaaminisha watu ziko salama wameangukia pua.
Uvaaji barakoa vilevile wameula wa chuya.

Nape na January ni wepesi Kama karatasi,hasa kwa uombwe la kukatika umeme,mpaka atajua nyau siyo mboga.
 
Nyie vichwa maji ndiyo mnaishi chini ya huyo mwendakuzimu.
 
Kama mnampenda sana huyo dikteta si mfanye maombi mfululizo mpaka afufuke? He is gone for good. No matter how mtakavyojihangaisha, hatorudi. MTAPATA TABU SANA 🤣🤣🤣
Wapo akina gwajima . Si wanafufua watu?wakamfufue.
 
Mbona juzi tu mkaambiwa kuna uchaguzi mdogo mkaanza kulia?

Mbona kila siku ni vilio huko mahakamani?

Hatushiriki ukhanithi hilo ndio lilikuwa jibu langu. Ama unadhani sijui nini naongea bro?
 
Hatushiriki ukhanithi hilo ndio lilikuwa jibu langu. Ama unadhani sijui nini naongea bro?
Kwanini mungu wako asiwaondolee huo uhanith bila kumwaga damu kama alivyofanya kwa dhalimu wako?
 
Kwanini mungu wako asiwaondolee huo uhanith bila kumwaga damu kama alivyofanya kwa dhalimu wako?

Utajua hujui safari hii. Tunachojua dhalimu hayupo fullstop.
 
Kama mnampenda sana huyo dikteta si mfanye maombi mfululizo mpaka afufuke? He is gone for good. No matter how mtakavyojihangaisha, hatorudi. MTAPATA TABU SANA 🤣🤣🤣
We Evarist Chahali afadhali ulikimbia nchi. Tanzania haiwezi kuwa na watumishi wapumbavu kama wewe!
 
Kwa hiyo kuhoji matumizi ya mkopo wa dola bilion 9 ni tatizo?ni ukosefu wa nidhamu?ni dharau?au ....?aisee EMBU PUNGUZEN MAPENZI KWA MAREHEMU...TUTAOMBA KUYACHUNGUZA MENGI TU BILA KUJALI YATAMGUSA NANI...VUMILIEN TU
 
Ww ndio unalia kwa dhalimu kuondoka, sisi wengine tuko baridi kabisa, na use#@nge hatushiriki fullstop.
Hamshirik kwanu mungu wenu si amewaondolea dhalimu wenu bila kumwaga damu?
 
Back
Top Bottom