Tukilinganisha majibu yako na point za mleta mada, tunajua nani mwenye akili ndogo na nani mwenye uwezo mkubwa wa akili.Wanachi wapi unaowasemea labda?,acha ujinga sema ww na familia yako au ww na hawara yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukilinganisha majibu yako na point za mleta mada, tunajua nani mwenye akili ndogo na nani mwenye uwezo mkubwa wa akili.Wanachi wapi unaowasemea labda?,acha ujinga sema ww na familia yako au ww na hawara yako
Wakificha maelezo ndio vizuri maana itaidhinisha uhusika wao.Alichosema, taarifa zinadaiwa/takiwa ili kuthibitisha matumizi mabaya/wizi zitatoka kwa wahusika walewale waliyokuwa na Magufuli. Je, watatoa taarifa za kujiwekea pingu...Makamu wa Raisi wa sasa na wa Magufuli (Raisi), Waziri Mkuu, n.k.
Kwanini usimshukuru mungu wako ili aiondoe ccm inayokutesa kila siku?
Na vipi baada ya mungu wako kumuondoa dhalimu mko vizuri sasa ee?
Imlilie dhalimu?!Nafikir hata family yako bado inamlilia Magufuli.
Wewe ni wakala wa shetwani, una laana kali sanaNa huko jehenamu liteswe mpk lifariki tena
Nyie vichwa maji ndiyo mnaishi chini ya huyo mwendakuzimu.Hii awamu ya sita wajitenge tu na Mwendazake,tuone ubavu wao.
Ndo watajua hii nchi inaishi kwenye kivuri Cha Mwendazake.
Mwendazake alisema chanjo hazifai na huyupo,wamejaribu kuwaaminisha watu ziko salama wameangukia pua.
Uvaaji barakoa vilevile wameula wa chuya.
Nape na January ni wepesi Kama karatasi,hasa kwa uombwe la kukatika umeme,mpaka atajua nyau siyo mboga.
Mbona juzi tu mkaambiwa kuna uchaguzi mdogo mkaanza kulia?Tuko vizuri kinoma.
Wapo akina gwajima . Si wanafufua watu?wakamfufue.Kama mnampenda sana huyo dikteta si mfanye maombi mfululizo mpaka afufuke? He is gone for good. No matter how mtakavyojihangaisha, hatorudi. MTAPATA TABU SANA 🤣🤣🤣
Mbona juzi tu mkaambiwa kuna uchaguzi mdogo mkaanza kulia?
Mbona kila siku ni vilio huko mahakamani?
Kwanini mungu wako asiwaondolee huo uhanith bila kumwaga damu kama alivyofanya kwa dhalimu wako?Hatushiriki ukhanithi hilo ndio lilikuwa jibu langu. Ama unadhani sijui nini naongea bro?
Kwanini mungu wako asiwaondolee huo uhanith bila kumwaga damu kama alivyofanya kwa dhalimu wako?
We Evarist Chahali afadhali ulikimbia nchi. Tanzania haiwezi kuwa na watumishi wapumbavu kama wewe!Kama mnampenda sana huyo dikteta si mfanye maombi mfululizo mpaka afufuke? He is gone for good. No matter how mtakavyojihangaisha, hatorudi. MTAPATA TABU SANA 🤣🤣🤣
Dhalimu hayupo ndio!Utajua hujui safari hii. Tunachojua dhalimu hayupo fullstop.
Dhalimu hayupo ndio!
Sasa mbona bado mnalia?
Hamshirik kwanu mungu wenu si amewaondolea dhalimu wenu bila kumwaga damu?Ww ndio unalia kwa dhalimu kuondoka, sisi wengine tuko baridi kabisa, na use#@nge hatushiriki fullstop.
Mimi nikiwa kichwa maji basi wewe bichwa lako wewe litakuwa la maji,hata Hilo fuvu ni la maji.Nyie vichwa maji ndiyo mnaishi chini ya huyo mwendakuzimu.
Umewahi kuona fuvu la maji?Mimi nikiwa kichwa maji basi wewe bichwa lako wewe litakuwa la maji,hata Hilo fuvu ni la maji.