Eee hicho Cha kwako ndo cha Kwanza kukiona.Umewahi kuona fuvu la maji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eee hicho Cha kwako ndo cha Kwanza kukiona.Umewahi kuona fuvu la maji?
Anawasemea machinga na mama lishe co ww fisadi au wazazi wako walikuwa na vyeti feki.Wanachi wapi unaowasemea labda? Acha ujinga sema ww na familia yako au ww na hawara yako
Hata kiswahili hujui, anyway japo ni ujinga lakini ni fungu ulilojichagulia mwenyewe. Amini nakwambia hakuna nchi yoyote isiyokuwa na watu kama wewe.Eee hicho Cha kwako ndo cha Kwanza kukiona.
Hamshirik kwanu mungu wenu si amewaondolea dhalimu wenu bila kumwaga damu?
Nape pamoja na January, kama wanataka kuwa credible politicians for a very long time, waache kushughulika na personal or petty issues. Wahangaike na mambo ambayo yatawabeba wao mbele ya wananchi.Sidhani kama Nape alifikiria hizi hoja zako..
Narudia tena huenda ukanielewa kichwa Cha Kwanza Cha maji kukiona ni Cha kwako!Hata kiswahili hujui, anyway japo ni ujinga lakini ni fungu ulilojhagulia mwenyewe. Amini nakwambia hakuna nchi yoyote isiyokuwa na watu kama wewe.
Haitabadilisha fact kwamba kufuta legacy ya jiwe ni kupoteza muda, watoto wadogo walikuwa wanasalute jeneza lake, mnapaswa mfahamu jamaa ameacha wafuasi mob.Jizi la kura lina legacy gani? Tunashukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi dhalimu bila damu kumwagika.
Haitabadilisha fact kwamba kufuta legacy ya jiwe ni kupoteza muda, watoto wadogo walikuwa wanasalute jeneza lake, mnapaswa mfahamu jamaa ameacha wafuasi mob.
Mtapambana na maiti yake mpaka mtakapomfuata
Endeleeni kujidanganya, eti watoto wa hao walio pewa vyeo, as if hakuna raia wa kawaida ambao hawakupewa cheo ila wanamkubali, nakwambiaje mkuu, unapoteza muda kupambana na marehemu, wapo watu kibao tulimkubali na tunataka kiongozi mwingine kama yeye.Si watoto wa hao aliowapa madaraka kwa shuruti ndio walikuwa wanapiga saluti. Isitoshe kupigiwa saluti ndio nini?
The devil is in the detail. Ukiondoa awamu ya Nyerere, matumizi makubwa ya serikali tokea awamu ya pili yamegubikwa na giza la ufisadi bila maelezo ya kuridhisha hadi leo hii.Fedha zote alizokopa Magufuli zinaonekana kupitia kazi kubwa aliyoifanya. Fedha walizokopa na kupewa msaada awamu ya nne mpaka leo hazijulikani zimeenda wapi (Ukiacha zile za wizara ya ujenzi)!
Shukuru tu kuwa watu wa pwani ni vigumu kwao kuacha ustaarabu ndio maana bado Mama anamuenzi JPM. Angeweza kumponda mwendazake hadharani na kufanya yake.Hii awamu ya sita wajitenge tu na Mwendazake,tuone ubavu wao.
Ndo watajua hii nchi inaishi kwenye kivuri Cha Mwendazake.
Mwendazake alisema chanjo hazifai na huyupo,wamejaribu kuwaaminisha watu ziko salama wameangukia pua.
Uvaaji barakoa vilevile wameula wa chuya.
Nape na January ni wepesi Kama karatasi,hasa kwa uombwe la kukatika umeme,mpaka atajua nyau siyo mboga.
Kumbe!!! Unawakumbuka Joyce Banda na Edgar Rungu?Shukuru tu kuwa watu wa pwani ni vigumu kwao kuacha ustaarabu ndio maana bado Mama anamuenzi JPM. Angeweza kumponda mwendazake hadharani na kufanya yake.
Hakuna Mtanzania mwenye ubavu wa kuleta fyokofyoko mbele ya Rais wa JMT. Labda vichokochoko. Kama ni kura ni kiasi cha kujiamulia tu ajipe ngapi na wengine awapimie vipi. Ushindi kwake ni lazima.
Endeleeni kujidanganya, eti watoto wa hao walio pewa vyeo, as if hakuna raia wa kawaida ambao hawakupewa cheo ila wanamkubali, nakwambiaje mkuu, unapoteza muda kupambana na marehemu, wapo watu kibao tulimkubali na tunataka kiongozi mwingine kama yeye.
Kiongozi kama yeye wa kukopa dola bilion 9?huku akijitapa HAJAWAH KUKOPA?HAKIKA HATUTAMPATA KIONGOZ KAMA HUYO[emoji3][emoji3]Endeleeni kujidanganya, eti watoto wa hao walio pewa vyeo, as if hakuna raia wa kawaida ambao hawakupewa cheo ila wanamkubali, nakwambiaje mkuu, unapoteza muda kupambana na marehemu, wapo watu kibao tulimkubali na tunataka kiongozi mwingine kama yeye.
Yupo Gwajima ni miongoni mwao, na yeye amekuwa akijinadi kuwa ana uwezo wa kufufua wafu, sasa si wampelele pale Chato akafanye kazi ya ufufuo ili "shujaa" wao arejee?Kama mnampenda sana huyo dikteta si mfanye maombi mfululizo mpaka afufuke? He is gone for good. No matter how mtakavyojihangaisha, hatorudi. MTAPATA TABU SANA [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukilijua hili huwezi kuua raia wema bila sababu kama alivyofanya JPM, hakika alikuwa na roho mbaya na isiyo ya kibinadamu kabisa, tazama Mungu alivyo wa ajabu, apamoja na mavifaru lukuki, mibunduki kila kona na kuagiza akina LISSU kunyeshewa mvua ya risasi, Been saa nane na Azory Gwanda walipotezwa kabisa bila hata ndugu zao kujua walipo, lakini Mungu kwa miujiza yake na yeye analiwa na funza huko Chato!Kila mtu atakwenda for good
Kwani unadhani jamaa yako mr #dishlimetilt anayeshikishwa ukuta na wazungu kule mamtoni yeye ataishi milele?Kama mnampenda sana huyo dikteta si mfanye maombi mfululizo mpaka afufuke? He is gone for good. No matter how mtakavyojihangaisha, hatorudi. MTAPATA TABU SANA 🤣🤣🤣
Jiwe mjaa laana yule ameiharibu nchi. Huko aliko akaangwe na moto wa jehanamu