B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 24,831 Reaction score 45,154 Jul 23, 2024 #61 Tindo said: Tulia we mfuasi wa dhalimu. Click to expand... Tanaania watu wengi ni wadhalimu ndio manaa utaona wana mahaba na watu wadhalimu maana ndio sifa zao
Tindo said: Tulia we mfuasi wa dhalimu. Click to expand... Tanaania watu wengi ni wadhalimu ndio manaa utaona wana mahaba na watu wadhalimu maana ndio sifa zao
N ndolelejiUduhe JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 2,837 Reaction score 3,027 Jul 23, 2024 #62 Faana said: Wanavaa ndimi mpya kwenda kumnanga bungeni sasa Click to expand... Hawatajaribu Hiyo kitu hata kwa dakika moja π³π Wenye makando kando mengi huwa ni waoga ππ Letβs wait and see what happens next π !
Faana said: Wanavaa ndimi mpya kwenda kumnanga bungeni sasa Click to expand... Hawatajaribu Hiyo kitu hata kwa dakika moja π³π Wenye makando kando mengi huwa ni waoga ππ Letβs wait and see what happens next π !
The only JF-Expert Member Joined May 19, 2011 Posts 10,805 Reaction score 14,181 Jul 23, 2024 #63 Eti aliwasamehe akawapa ubunge? Kwamba ubunge anautoa rais? JAPO MAGU NA MENGI NAMKUBALI SANA ,Ila kwenye Democracia na utawala wa sheria no.magu angekuwepo tungekuwa bado tuna bandari
Eti aliwasamehe akawapa ubunge? Kwamba ubunge anautoa rais? JAPO MAGU NA MENGI NAMKUBALI SANA ,Ila kwenye Democracia na utawala wa sheria no.magu angekuwepo tungekuwa bado tuna bandari
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Jul 23, 2024 #64 ndolelejiUduhe said: Hawatajaribu Hiyo kitu hata kwa dakika moja π³π Click to expand... Wameanza kukisema chama chetu
ndolelejiUduhe said: Hawatajaribu Hiyo kitu hata kwa dakika moja π³π Click to expand... Wameanza kukisema chama chetu
N ndolelejiUduhe JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 2,837 Reaction score 3,027 Jul 23, 2024 #65 Faana said: Wameanza kukisema chama chetu View attachment 3049933View attachment 3049933 Click to expand... Ni waoga watakaa kimya !
Faana said: Wameanza kukisema chama chetu View attachment 3049933View attachment 3049933 Click to expand... Ni waoga watakaa kimya !
S SSEKK The Literally JF-Expert Member Joined Sep 5, 2023 Posts 1,134 Reaction score 1,905 Jul 23, 2024 #66 Bush Dokta said: Kwa hiyo Ole Sabaya ni kiongozi kwa kuwa alikubalika na Magufuli? Vipi Taletale na Mwigulu? Click to expand... Mwigulu hakuwah kukubalika na JPM vlevle huyo Tale khs Sabaya ujana ndio kitu kilimzd na hakujua kucheza na wapinzan wake ila ni kiongozi mzuri
Bush Dokta said: Kwa hiyo Ole Sabaya ni kiongozi kwa kuwa alikubalika na Magufuli? Vipi Taletale na Mwigulu? Click to expand... Mwigulu hakuwah kukubalika na JPM vlevle huyo Tale khs Sabaya ujana ndio kitu kilimzd na hakujua kucheza na wapinzan wake ila ni kiongozi mzuri