Pre GE2025 Nape na Makamba walisamehewa na Magufuli na Ubunge wakapewa lakini alipokufa Wakaendelea kumsimanga marehemu, Exodus 14:14 imehusika sasa!

Pre GE2025 Nape na Makamba walisamehewa na Magufuli na Ubunge wakapewa lakini alipokufa Wakaendelea kumsimanga marehemu, Exodus 14:14 imehusika sasa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wanavaa ndimi mpya kwenda kumnanga bungeni sasa
Hawatajaribu Hiyo kitu hata kwa dakika moja 😳🙌

Wenye makando kando mengi huwa ni waoga 🙌👍

Let’s wait and see what happens next 🙄 !
 
Eti aliwasamehe akawapa ubunge? Kwamba ubunge anautoa rais? JAPO MAGU NA MENGI NAMKUBALI SANA ,Ila kwenye Democracia na utawala wa sheria no.magu angekuwepo tungekuwa bado tuna bandari
 
Hawatajaribu Hiyo kitu hata kwa dakika moja 😳🙌
Wameanza kukisema chama chetu

1721732372957.png
1721732372957.png
 
Back
Top Bottom