Nape na Makonda kwenye uzinduzi kanisa la Mwamposa (Ipe maneno)

Nape: aise makonda ndugu yangu vipi unaamini utamng'oa gambo pale A town au yatakukuta ya kigamboni?

Makonda: aaah safari hii uhakika nimewaweka wadudu na watu wote wa Arusha chini ya himaya yangu, hapa lazima nitie timu bungeni na mimi nisaini per diem
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…