Nape na Makonda kwenye uzinduzi kanisa la Mwamposa (Ipe maneno)

Nape na Makonda kwenye uzinduzi kanisa la Mwamposa (Ipe maneno)

View attachment 3395251

Nape: Niombee kwa Mama nami nirudi kwenye cabinet??

Makonda: Tatizo unajifanya mjuaji sana, Magu alikusamehe na Maza kakupa nafasi ya 2 lakini ukaanza usaliti na Februari
Kuna wapuuzi huko mitaani wanadai makonda anafaa kabisa kuwa kwenye cabinets. Wanasahau kwamba hata vyeti vya shule aliiba
 
Magufuli mwenyewe mpumbavu tu!! Angekuwa ni shujaa angekuwa bado hai
Huna adabu ww kenge ww Unabishana na Hatima yako ya maisha hapa duniani hujui kuwa ww hicho kiburi chako unakufa leo kisa kuramaba makalio ya mama yako na uchawa wa kipumbavu
 
Halafu ‘puppet masters’ walikuwa Songea, kwenye 40 ya mzee Songambele.

Easy politics to; predict if you know the players characters.

Tusiruhusu safari hii wapuuzi, wakiongozwa na CDM, mafisadi, wanaharakati uchwara na makundi mengine ye wapuuzi kuwaaribia maisha watanzania wa kesho.

Future ya democracy inaanza na kupunguza kwa madaraka ya raisi. mengine baadae.

Lissu sio mkombozi, ni taahira tu mwingine.
Kunywa Pepsi baridi, nitalipa
 
Kuna wapuuzi huko mitaani wanadai makonda anafaa kabisa kuwa kwenye cabinets. Wanasahau kwamba hata vyeti vya shule aliiba
Ni mazezeta tu wanaomuona Zerobrain Bashite anaweza kuwa Rais. Kuongoza mkoa hakuhitaji akili kwa kuwa kila activity ya mkoa ina waziri wake.

Uwaziri kwa Bashite NO
 
Huna adabu ww kenge ww Unabishana na Hatima yako ya maisha hapa duniani hujui kuwa ww hicho kiburi chako unakufa leo kisa kuramaba makalio ya mama yako na uchawa wa kipumbavu
Wewe unalamba makalio ya nani?
 
Ni mazezeta tu wanaomuona Zerobrain Bashite anaweza kuwa Rais. Kuongoza mkoa hakuhitaji akili kwa kuwa kila activity ya mkoa ina waziri wake.

Uwaziri kwa Bashite NO
Nimegundua walio wengi wanapenda siasa za matukio ambazo ndizo zilizomfikisha bwana Paul hapo alipo.
Huyu mtu ukimuweka nje ya media hawezi hata kuandika mwenyewe au kuisoma report yake ya performance kwa wiki moja tu
 
View attachment 3395251

Nape: Niombee kwa Mama nami nirudi kwenye cabinet??

Makonda: Tatizo unajifanya mjuaji sana, Magu alikusamehe na Maza kakupa nafasi ya 2 lakini ukaanza usaliti na Februari
Halafu Richard Kasesera naye kwa pembeni anadakia kwa kusema "hata mm bw. Makonda nisaidie, nishachoka kukaa benchi, maana hata kilimo cha miti huko Iringa hakilipi".
 
View attachment 3395251

Nape: Niombee kwa Mama nami nirudi kwenye cabinet??

Makonda: Tatizo unajifanya mjuaji sana, Magu alikusamehe na Maza kakupa nafasi ya 2 lakini ukaanza usaliti na Februari
Nape: Bashite bado wewe. Ila yule jamaa uliyemtuma kunitisha kwa bastola kisha hukumiwa

Bashite: Achana na mimi huniwezi. Nilimuambia Mama akutoe uwaziri na ukatoka, ukizidi kuifuatilia basi hata jina lako halirudi ubunge wa Mtama
 
Acha kumtaja shujaa Magufuli we mpumbavu kibaraka wa mafisadi mpuuzi mkubwa.
Shujaa wa nini we kibwengo, yule mshamba wa kisukuma ameifanyia nini nchi hii zaidi ya kutuharibia nchi yetu. Mpuuzi babako bwege kwl. Jinga moja km Magufuli eti shujaa, bila ht haya? Kwa hiyo ule uwanja wa ndege wa Kimataifa Chato ulijengwa kwa ajili ya kuanikia dagaa? Washamba kweli
 
Huna akili unatumia mavi kwenye ubongo wako. Sasa unajipendekeza kumtaja ili iweje?
We ndio una kinyesi kichwani, mfuate huyo mfu wako aliyetuharibia nchi yetu. We kenge ungekaa kimya siyo kumtaja huyo mshamba wa kisukuma
 
Sisi wote wadhurumaji wa mali za nchi kwanini tugombane😂, tumevimba miili yetu sababu ya dhurma, na Yale magari yote tumenunua kwa pesa ya dhurma, familia zinaishi vizuri kwa dhurma, watoto shule pesa za dhurma zile ada. Tuache kugombana....tutarudi bungeni wote ....mazungumzo ya mioyo yao
 
Shujaa wa nini we kibwengo, yule mshamba wa kisukuma ameifanyia nini nchi hii zaidi ya kutuharibia nchi yetu. Mpuuzi babako bwege kwl. Jinga moja km Magufuli eti shujaa, bila ht haya? Kwa hiyo ule uwanja wa ndege wa Kimataifa Chato ulijengwa kwa ajili ya kuanikia dagaa? Washamba kweli
Huyu bwege Idugunde ni full msukule, hakuna kitu anaelewa zaidi ya kumuabudu Magufuli
 
Back
Top Bottom