Barakoa 001
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 5,436
- 14,927
Huyo jamaa si ndio alizinguliwa na magu?Kivipi?
Huyo jamaa si ndio alizinguliwa na magu?Kivipi?
Haya matusi yote ya kazi gani? Ushamba unakusumbua, unajiona bonge la mjaaanjaaAcha kumtaja shujaa Magufuli we mpumbavu kibaraka wa mafisadi mpuuzi mkubwa.
Wanatusaidia nini?View attachment 3395251
Nape: Niombee kwa Mama nami nirudi kwenye cabinet??
Makonda: Tatizo unajifanya mjuaji sana, Magu alikusamehe na Maza kakupa nafasi ya 2 lakini ukaanza usaliti na Februari
Matapeli na wauaji wamekutanaView attachment 3395251
Nape: Niombee kwa Mama nami nirudi kwenye cabinet??
Makonda: Tatizo unajifanya mjuaji sana, Magu alikusamehe na Maza kakupa nafasi ya 2 lakini ukaanza usaliti na Februari
Nani anafaa kati yao?View attachment 3395251
Nape: Niombee kwa Mama nami nirudi kwenye cabinet??
Makonda: Tatizo unajifanya mjuaji sana, Magu alikusamehe na Maza kakupa nafasi ya 2 lakini ukaanza usaliti na Februari
NimeipendaNape: aise makonda ndugu yangu vipi unaamini utamng'oa gambo pale A town au yatakukuta ya kigamboni?
Makonda: aaah safari hii uhakika nimewaweka wadudu na watu wote wa Arusha chini ya himaya yangu, hapa lazima nitie timu bungeni na mimi nisaini per diem
HHahaha😂, lakini ukubwa bichwa lake bado haujafikia ukubwa wa dushelele langu.Huyu NAPE nae amezidi kuwa na BICHWA KUBWA kama KONTENA.
Afanyage mazoezi ya BICHWA khaaa.... BICHWA kama la FARU JONI.
Cc: Lucas Mwashambwa secretarybird cocastic
Mkuu Idugude kulikoni, marehemu kutajwa tu, tena kwa wema ndio uranduke namna hii na matusi juu??? Kuna kitu hakiko sawa sawa, jichunguze!!!Acha kumtaja shujaa Magufuli we mpumbavu kibaraka wa mafisadi mpuuzi mkubwa.
🤣 🤣 🤣 🔊Alikuwa mumeo?!!!! Yaani ulikuwa unamuiba mama Janeth?!!
Vuvuzela yupo vizuri 😂Hakuna anayefaa
Stuxnet hapana, waungwana hatufanyi hivi, hakuna sababu ya kurudisha matusi, muelimishe tu! Usijishushe namna hii!!
Kodi zenu tuHawa jamaa sijui wanakula nini!! Mbona wanafutuka sana!!
Taahira ni yule ayekuzaa maana inaonyesha alizaa taahira moja limbukeni la kutupwaHalafu ‘puppet masters’ walikuwa Songea, kwenye 40 ya mzee Songambele.
Easy politics to; predict if you know the players characters.
Tusiruhusu safari hii wapuuzi, wakiongozwa na CDM, mafisadi, wanaharakati uchwara na makundi mengine ye wapuuzi kuwaaribia maisha watanzania wa kesho.
Sadat ya democracy inaanza na kupunguza kwa madaraka ya raisi. mengine baadae.
Lissu sio mkombozi, ni taahira tu mwingine.