Tetesi: Nape na Membe wahusishwa kuhujumu nguvu ya Magufuli ndani ya CCM

Kuna Mzee mmoja kipindi nikiwa mdogo kwenye kampeni za Urais mwaka fulani alikuwa ananivalisha Kofia za Ccm.

Yule mzee namsaka kwa hali na mali alikuwa anaitwa Zabron.

[emoji35] [emoji35] [emoji35]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unataka kumpa mkong'oto nini? [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Mi sikubaliani na mbunge baada ya kuhama chama kuwa na u bunge wake, ispokua nakubali Ana na chama chenye mbunge kuteuwa mtu mwengine na ku cover nafasi ya alie hama chama bila ya uchaguzi kuwepo.

Jengine kuwepo na muhula mmoja tu wa kuwania u rais na sio miaka kumi.

Tatu rais kuondolewa madaraka makubwa kama kuwa amiri jeshi mkuu. Kuteuwa majaji na msajili wa vyama vya siasa pamoja na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Mzee mmoja kipindi nikiwa mdogo kwenye kampeni za Urais mwaka fulani alikuwa ananivalisha Kofia za Ccm.

Yule mzee namsaka kwa hali na mali alikuwa anaitwa Zabron.

[emoji35] [emoji35] [emoji35]
Nilikua nimenuna wacha nicheke tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizi pumba si umdanganye mkeo hata akupe unyumba?
 
HUU NI UZANDIKI WA KUPITILIZA! KWELI MMEFILISIKA!
 
Yani Membe pamoja na Kukaa kimya bado anaonekana kikwazo!!
Tanzania Nchi huru..Hii sasa ni Kero..
Ccm hawana jema.

Sent from my SM-G950F using Tapatalk
 
Reactions: prs
Mzee na miguvu yote ilee bado anahisi anahujumiwa tu? Sasa itakuwaje kama kweli atafanikiwa kuchukua 120% ya nguvu zake? Terrible job indeed
 
Kuna Mzee mmoja kipindi nikiwa mdogo kwenye kampeni za Urais mwaka fulani alikuwa ananivalisha Kofia za Ccm.

Yule mzee namsaka kwa hali na mali alikuwa anaitwa Zabron.

[emoji35] [emoji35] [emoji35]
ahahaaa uyo mtafute aisee ucmwache[emoji23]

ben.big.boss
 
Tulie nae syo rahisi ni mbwabwajaji so wakijipanga vyema tuko nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…