Tetesi: Nape na Membe wahusishwa kuhujumu nguvu ya Magufuli ndani ya CCM

Tetesi: Nape na Membe wahusishwa kuhujumu nguvu ya Magufuli ndani ya CCM

Kuna Mzee mmoja kipindi nikiwa mdogo kwenye kampeni za Urais mwaka fulani alikuwa ananivalisha Kofia za Ccm.

Yule mzee namsaka kwa hali na mali alikuwa anaitwa Zabron.

😑 😑 😑
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Haya ya tetesi niliyamisi jamani na habari za kihivi

Nimekumbukia tu.. enzi za Jamboforums ileeeeee kabla haijawa Jamiiforums

Eeh, kwa mara ya kwanza na mwisho, ngoja niku'quote': Sikujua. Tokea 2007, hata kabla ya akina 'Mama Ntilie'; Kifimbo Cheza; Mdosi Mzalendo, na hata akina Rev. Kishoka? Na katika muda huo wote 'posts' 28,034,275 zikamiminika na Cheo juu yake 'Expert Member?' Mzee Mwanakijiji alijulikana juu ya michango yake mizito ya wakati huo. Mbona cocochanel hatukuwahi kumsikia?
Wait a minute, 28 million posts? Itakuwaje hii! Ni posts za namna gani hizi!
 
Hayo mengine nakubaliana na wewe isipokuwa hapo Panaposema asiwe amiri jeshi mkuu. Sasa jeshi litakuwa na utii kwa nani?

Sent using Jamii Forums mobile app

Inaonekana likiwa na utii kwa rais analitumia vibaya kutekeleza matakwa yake kisiasa. Hili ni kosa kubwa sana. Na kwa bahati mbaya hata jeshi sasa limeingia mtego wa kutumika kisiasa kisa rais ni amiri jeahi mkuu. Naombea mapinduzi ndani ya ccm kwani huko ndio imekuwa kichaka cha kutunga sheria zenye nia ovu.
 
Hahaha umekuja na hapa baada ya jamaa kuumia kwa uzi huu na kusema nimekosea kuuandika,
 
We jamaa hujielewi kabisa
Leo Gamba kesho unapondea ugambani
Kuna Mzee mmoja kipindi nikiwa mdogo kwenye kampeni za Urais mwaka fulani alikuwa ananivalisha Kofia za Ccm.

Yule mzee namsaka kwa hali na mali alikuwa anaitwa Zabron.

[emoji35] [emoji35] [emoji35]

Sent from my Nokia 6.1 using Tapatalk
 
HUU NI UZANDIKI WA KUPITILIZA! KWELI MMEFILISIKA!

Una mda sana huingii humu jf kwa hii id yako verified, lakini kwakuwa hili lililosemwa limekugusa umewahi kuja kujitetea.

Nape ww na wanaccm wenzako mlikuwa mnashabikia rais kuwa na madaraka makubwa, na mlitetea hali hiyo kwa sababu ccm ipo na inaendelea kuwa madarakani kupitia mwenyekiti wake hasa kwa kofia yake ya amiri jeshi mkuu. Tulipiga kelele lakini wanaccm mlifaidika na udhaifu huo wa kikatiba. Hatimaye nguvu ile sasa imewageuka hadi nyie wanaccm. Sasa hivi nguvu ya mwenyekiti wenu kama mkuu wa nchi inegeuka ndio inatoa mshindi kwenye box la kura na sio wingi wa kura tena. Hii jeuri ndio imechangia wapinzani kuhama na kupata vyeo huko kwenu huku wanaccm wakishangaa. Sasa hv katiba yenu inatetewa na CCM/UKAWA huku nyie mkishangaa na kuishia kuzushiana humu mitandaoni. Ccm yenu imekuwa vinara wa kusimamia sheria mbovu ili kulinda madaraka yenu, hamjali wala hamsikii. Leo kina Sumaye, Lowassa nk wanalia kwa sheria walizozishabikia walipokuwa ccm. Ww nawe una mapendekezo yanayotafsiriwa tofauti na wanaccm Magu, nyie ccm asili mmebaki kununa, hadi imefikia kauli za mashangazi wenu kupata kipigo. Hiyo jeuri ni kwakuwa ushindi sasa hivi sio box la kura bali uporaji chini ya vyombo vya dola. Na hili ni bado.
 
Hahaha umekuja na hapa baada ya jamaa kuumia kwa uzi huu na kusema nimekosea kuuandika,

Mkuu inawezekana yote uliyosema sio kweli, lakini wangalau 50% ni kweli na ushahidi ni Nape kujitokeza hapa jukwaani tena kwa verified id. Kuna muda mrefu sana Nape haingii hapa jukwaani kw verified id, lakini umechoma kichaka sungura wote wametokeza. Mkuu nakupa support maalum, mwaga data vizuri hata Membe ataingia na verified Id tuwape ukweli wao.
 
Back
Top Bottom