Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Mara nyingi Nape akilewa huwa anasema " sisi ndo tunamweka Rais na tukiamua tunamwondoa, sisi ndo CCM."
Haya maneno watu wake wa karibu wengi pia watakuambia. Ni mtu anayependa sifa za Kipumbavu. Ana utoto mwingi sana Nape. Yeye na Mwigulu mara nyingi wanapenda Kumbagaza Rais. Kuonesha wao ndo wana sauti au maamuzi makubwa.
Hili aliloliongea nape si kwa bahati mbaya na si utani. Hakuna utani wa namna ile. Anaongea mambo kuonesha kuwa yeye anahusika sana kumweka Rais madarakani na kuwa anapaswa aheshimiwe. Hapo alikuwa akimhakikishia Mbunge kuwa asiwe na shaka. Hili si jipya kwa nape.
Angalieni watu ambao wamekuwa na kauli chafu. Humkosi Mwigulu na Nape. Hawa wamejawa na Kiburi mpaka utosini. Wanasema wao ndo Chama. Ukipishana nao ni suala la muda tu wanakung'oa. Pengine hili ndo linamwogopesha rais.