Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Nafikiri serikali iliyopo Sasa ni ile ile iliyokuwepo, kuanzia Rais, Makamu na waziri Mkuu...
Waziri wa fedha wa kipindi hicho ndio makamu wa rais sa hivi.Watamfanya Nini?Huo uchunguzi ukishafanyika ikagunduoika kuna watu waliharibu hao wahusika watachukuliwa hatua au watafichwa kama ile ripoti ya fedha zilizochotwa BOT Magufuli alipofariki?
Huyu Nape naamini kabisa anapiga hizo kelele kwa malengo yake binafsi kisiasa ili akamate nyumbu wake, lakini anazijua vizuri tabia za chama chake kuwalinda wahalifu, anajua hakuna watakachofanywa hizi kelele zake ni upepo tu utapita.
Nape anawachezea wajinga nao wanamshangilia.Waziri wa fedha wa kipindi hicho ndio makamu wa rais sa hivi.Watamfanya Nini?
Msumeno hukata ukienda mbele na nyuma, tunaomba wao wachunguzwe na yeye achunguzweCAG kimsingi amekubali kukagua fedha za mikopo iliyoingiwa na serikali ya Awamu ya 5.
CAG Kichere amesha sema anasubiri maelekezo tu.
Kutokana na mijadala, hata humu JF, kuna watu wamepanic.
Kisirisiri wengi wanajua frdha zilivyoliwa, mitambo nyeti imenunuliwa st inflated prices, na hakuna aliyeuliza.
Miradi haikuhakikiwa na bunge, hilo linajulikana.
Nenda Tegeta A, Mbweni na kwingineko, majumba yalipaa kama uyoga, na ni watu fulani tu.
Nape umetonesha kidonda.
Mawimbi yakitulia tutajua nani alikua uchiMigambo wanaruka na kukanyagana....
πππ wanasema ukitaka kuona nyeti za Kuku subiri upepo upulize mkuu.Mawimbi yakitulia tutajua nani alikua uchi
Zimbabwe kuna waziri alikumbwa na tuhuma za rushwa, na kwakua ilimhusisha mkuu, walipomfuata kumhoji akasema "go on but I will not sink alone" aliishia kubadilishwa wizara tu.
Nnachotaka kusema ni kwamba, hata ukifanyika ukaguzi madudu yakabainika, hakuna wa kumuwajibisha mwenzake, wengi sio wasafi. Watu ni walewale waliokuwepo awamu iliyopita.
Nnachojiuliza sasa, Nnnnape anafanya haya yote sasa hivi kwa uzalendo au kwa vile hakunufaika na ufisadi?