peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Mz
Mzee Moses Nauye ni sawa na NapeUkiangalia sana Nape ana hasira amewekwa pembeni, anataka akumbukwe nae anyamazishwe kwa kupewa ulaji, Nape ni mnafiki sana, sasa hivi anapiga kelele kwakuwa hayuko mezani.