Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Unakunywa bia gani?Utopolo anakimbizwa mbaya mno! Mashabiki wake hawaamini wanachokiona wanaishia kubana kende tusiwafunge!
Bia ctumii! Natumia scotch whiskey. The DALMORE 12Unakunywa bia gani?
Ungekuwa unakula konyagi ningekurushia pesaBia ctumii! Natumia scotch whiskey. The DALMORE 12
Mama D sometimes una akili!ni msutano kati ya
Nape aliyehakikisha hakuna bungelive VS Polepole aliyetuletea mavieiti
Mama D sometimes una akili!
Karibu chadema hao mafisi watakuchoshaHabari ya saa hizi mliberali
Kiroboto alikuwa na wananchi kipindi kile cha katiba mpya, alipoanza yale mambo ya "unaijua vieiti"tukamdharauPolepole yupo na wananchi ndiyo maana viewers ni wengi sana kwake .
Nape na Makamba wanajulikana ni timu msoga ( wapigaji)
Karibu chadema hao mafisi watakuchosha