Tafakari yetu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 1,505
- 4,427
Kwa muda mrefu nimekuwa ni adui wa kauli na utendaji usiofata misingi wa Nape Nnauye. Kauli zake Mara nyingi zinaonesha ni mtu anayejisikia, mtu ambaye anaamini kwamba bila yeye CCM haiwezi kusonga mbele,kwa kifupi anajiona ni mungu mtu ndani ya CCM.
Nape anachotakiwa kujua ni kwamba chini yake kama katibu wa itikadi na uenezi CCM kilikuwa dhaifu sana na ilikuwa ni aibu kujiita mwanaCCM lakini ni huyu anayemuita kiroboto ,wa kuja ndo kakiheshimisha chama pakubwa sana. Kazi iliyofanywa na kiroboto ni kubwa sana.
Nape kubali kataa lakini Polepole amekuzidi uwezo, maarifa na ujengaji hoja bado una nafasi ya kujifunza mazuri yako na ukaonekana bora kuliko kujiona unajua kila kitu kumbe tunaokufahamu tunaona aibu hata kukuzungumzia mbele za wenye akili timamu.
Hakika Nape umejua kukidhalilisha na kukifedhesha Chama cha mapinduzi kwa kusema kwamba CCM kina wenyewe, kama wenyewe unaowasemea na wewe ni mmojawapo basi hakuna namna zaidi ya kusikitika na kuhuzunika kwa uharibufu mkubwa uliofanywa chini yako. Kama umeyasahau nitaendelea kukukumbusha ili ujielewa sisi wanaCCM wenzako tunakuonaje