Nape ni aibu na fedhea kwa CCM, kuachwa kwake kutaleta aibu kubwa ndani ya CCM

Inamana aliheshimisha chama kwa kufanya usajili wa kuvunja rekodi, kuzuia watu kuongea na kuvuruga upinzani.
 
Kwa muda mrefu nimekuwa ni adui wa kauli na utendaji usiofata misingi wa Nape Nnauye. Kauli zake Mara nyingi zinaonesha ni mtu anayejisikia, mtu ambaye anaamini kwamba bila yeye CCM haiwezi kusonga mbele,kwa kifupi anajiona ni mungu mtu ndani ya CCM.

Nape anachotakiwa kujua ni kwamba chini yake kama katibu wa itikadi na uenezi CCM kilikuwa dhaifu sana na ilikuwa ni aibu kujiita mwanaCCM lakini ni huyu anayemuita kiroboto ,wa kuja ndo kakiheshimisha chama pakubwa sana. Kazi iliyofanywa na kiroboto ni kubwa sana.

Nape kubali kataa lakini Polepole amekuzidi uwezo, maarifa na ujengaji hoja bado una nafasi ya kujifunza mazuri yako na ukaonekana bora kuliko kujiona unajua kila kitu kumbe tunaokufahamu tunaona aibu hata kukuzungumzia mbele za wenye akili timamu.

Hakika Nape umejua kukidhalilisha na kukifedhesha Chama cha mapinduzi kwa kusema kwamba CCM kina wenyewe, kama wenyewe unaowasemea na wewe ni mmojawapo basi hakuna namna zaidi ya kusikitika na kuhuzunika kwa uharibufu mkubwa uliofanywa chini yako. Kama umeyasahau nitaendelea kukukumbusha ili ujielewa sisi wanaCCM wenzako tunakuonaje
Nape, January, Sendeka Mmmmh tuwe nao macho sana uwezo wao ni mdogo lakini wanapenda madaraka na vyeo. Tunaomba mdahalo kati ya Nape na Polepole.....January na Polepole kuhusu uongozi na mambo mtambuka katika jamii.
 
Kamfufue ndo aje amfukuze nape.

Kiufupi miaka 6 ilopita ccm haikuwepo bali chama kilimilikiwa na mamluki majambawazi
 
Kwa muda mrefu nimekuwa ni adui wa kauli na utendaji usiofata misingi wa Nape Nnauye. Kauli zake Mara nyingi zinaonesha ni mtu anayejisikia, mtu ambaye anaamini kwamba bila yeye CCM haiwezi kusonga mbele,kwa kifupi anajiona ni mungu mtu ndani ya CCM.

Nape anachotakiwa kujua ni kwamba chini yake kama katibu wa itikadi na uenezi CCM kilikuwa dhaifu sana na ilikuwa ni aibu kujiita mwanaCCM lakini ni huyu anayemuita kiroboto ,wa kuja ndo kakiheshimisha chama pakubwa sana. Kazi iliyofanywa na kiroboto ni kubwa sana.

Nape kubali kataa lakini Polepole amekuzidi uwezo, maarifa na ujengaji hoja bado una nafasi ya kujifunza mazuri yako na ukaonekana bora kuliko kujiona unajua kila kitu kumbe tunaokufahamu tunaona aibu hata kukuzungumzia mbele za wenye akili timamu.

Hakika Nape umejua kukidhalilisha na kukifedhesha Chama cha mapinduzi kwa kusema kwamba CCM kina wenyewe, kama wenyewe unaowasemea na wewe ni mmojawapo basi hakuna namna zaidi ya kusikitika na kuhuzunika kwa uharibufu mkubwa uliofanywa chini yako. Kama umeyasahau nitaendelea kukukumbusha ili ujielewa sisi wanaCCM wenzako tunakuonaje
Nape ni mwanasiasa wa siasa za mipasho, matukio, na ni opportunist. Polepole ni mwanasiasa anayeishi kwa utafiti, usomi, anaijua imani ya chama na anaitetea bila uoga. Si mtu wa majungu, fitna na vijemmbe vya kisiasa.
 
.
20211213_193008.jpg
 
Kumlinganisha Nape na POLEPOLE ni kumkosea kabisa POLEPOLE.
Akili ya POLEPOLE ni sawa na akili ya Nape ikizidishwa mara 20.
JPM, POLEPOLE, DR. BASHIRU na wengineo ndo waliokiheshimisha CCM kwa Watanzania.
Utamlinganishaje mtu aliyeua Chama na aliyekijenga Chama?
 
Wakati wa kikwete unaisha, wengi walijua Ndio mwisho wa ccm, Nape alimnadi Sana Magu kuliko yeyote yule.

Per diem kila mtu anakuka, rejea polepole anaposema "unaijua viete wewe? Hata katibu wa ccm wa wilaya ana viete. Ccm wote ni wapiga dili.
Jpm,tingatinga alikuwa anajiuza Mwenyewe,bila kampeni zao .ndo maana ccm walimpitisha.ndo mtu safe I pekee alikuwa amebakia mwadilifu.hao wahuni walikuwa wanamfuata kinafiki kwenye kampeni kujipendekeza tu ili awape lakoulaji,waendelee kupata. alikuwa na uwezo wa kushinda bila kampeni zao za kinafiki.
 
Kama hujui wenyewe kwa CCM ni wenyeji, waliokulia kwenye Chama tangu chipukizi, uvccm hadi ngazi ya wazazi/ wanawake

Hao kina polepole ni wakuja tu!
Chipukizi wa ukweli tuliyekuwa tunamjua sisi ni Frank Uhahula, huyu Nape ana bahati tu ya kuzaliwa kwa kiongozi mwandamizi wa chama na kulelewa na Jakaya.
 
Magufuli alijinadi mwenyewe kwa kazi zake
Wamesahau watu walikuwa wanshindwa hata kuvaa nguo za rangi ya kijani au manjano,ukipita mitaani watu walikuwa wanakuzomea kama si Magufuli CCM ya Kikwete ilikuwa inamfia yeye Kinana na hao akina Nape. Na tunakoenda haii itakuwa hivyo hivyo muda si mrefu ,majigambo ya wahuni akina Bulembo,Nape hayakisaidii chama bali ndio yanazidisha chuki wao wanadhani kumnaga mwendazake kupitia kwa akina Polepole ndio kunawafanya waonekane wana CCM wa ukweli na uhakika mbele ya mama, wamesahau walio wengi walivyokuwa na imani na mwendazake na timu yake.
 
Kama hujui wenyewe kwa CCM ni wenyeji, waliokulia kwenye Chama tangu chipukizi, uvccm hadi ngazi ya wazazi/ wanawake

Hao kina polepole ni wakuja tu!
Unaweza kuanzia chipukizi lakini ukawa mhuni sasa faida yako itakua haina maana kwenye chama.
Hao wanao jiita wenyewe lazima wawe waadilifu na wanyeyekevu na sio majivuni na mafisadi.
 
Kwa muda mrefu nimekuwa ni adui wa kauli na utendaji usiofata misingi wa Nape Nnauye. Kauli zake Mara nyingi zinaonesha ni mtu anayejisikia, mtu ambaye anaamini kwamba bila yeye CCM haiwezi kusonga mbele,kwa kifupi anajiona ni mungu mtu ndani ya CCM.

Nape anachotakiwa kujua ni kwamba chini yake kama katibu wa itikadi na uenezi CCM kilikuwa dhaifu sana na ilikuwa ni aibu kujiita mwanaCCM lakini ni huyu anayemuita kiroboto ,wa kuja ndo kakiheshimisha chama pakubwa sana. Kazi iliyofanywa na kiroboto ni kubwa sana.

Nape kubali kataa lakini Polepole amekuzidi uwezo, maarifa na ujengaji hoja bado una nafasi ya kujifunza mazuri yako na ukaonekana bora kuliko kujiona unajua kila kitu kumbe tunaokufahamu tunaona aibu hata kukuzungumzia mbele za wenye akili timamu.

Hakika Nape umejua kukidhalilisha na kukifedhesha Chama cha mapinduzi kwa kusema kwamba CCM kina wenyewe, kama wenyewe unaowasemea na wewe ni mmojawapo basi hakuna namna zaidi ya kusikitika na kuhuzunika kwa uharibufu mkubwa uliofanywa chini yako. Kama umeyasahau nitaendelea kukukumbusha ili ujielewa sisi wanaCCM wenzako tunakuonaje
Kunguni mtasagiana sana
 
Wakati wa kikwete unaisha, wengi walijua Ndio mwisho wa ccm, Nape alimnadi Sana Magu kuliko yeyote yule.

Per diem kila mtu anakuka, rejea polepole anaposema "unaijua viete wewe? Hata katibu wa ccm wa wilaya ana viete. Ccm wote ni wapiga dili.
Binafsi nilimpaka kura Magu 2015 si kwasababu ya maneno yake wala ya wale wanamzunguka!

Trust juu yake! Nilikuwa namuona Hard Working! Siku anatangazwa pale Dodoma kuwa ndiye mpeperusha bendera ya chama nami nilishaitimisha kuwa huyu nampa kura yangu! Tena kipindi hiki nilikuwa mshabiki wa chadema lakini siasa zangu mara nyingi uwa zinaangalia mrengo.

Naweza sema mpaka sasa Magufuli ndiye Rais ambaye nikiulizwa alikuwa anafaa? nitasema "Ndiyo" na sio ya kinywani tu ila mpaka moyoni jibu ni ndiyo.
 
Kumlinganisha Nape na POLEPOLE ni kumkosea kabisa POLEPOLE.
Akili ya POLEPOLE ni sawa na akili ya Nape ikizidishwa mara 20.
JPM, POLEPOLE, DR. BASHIRU na wengineo ndo waliokiheshimisha CCM kwa Watanzania.
Utamlinganishaje mtu aliyeua Chama na aliyekijenga Chama?
Hao uliowataja waliiiheshimisha CCM Kwa kukigeuza kuwa Jeshi?
 
Nape, January, Sendeka Mmmmh tuwe nao macho sana uwezo wao ni mdogo lakini wanapenda madaraka na vyeo. Tunaomba mdahalo kati ya Nape na Polepole.....January na Polepole kuhusu uongozi na mambo mtambuka katika jamii.
Japo simkubali polepole kutokana na unafiki wake....ila hao guruwe watapigwa za uso watatoka hawaoni.....ni wachanga sana kwa polepole hao kwenye hizo ishu....waulize kupiga madili tu.
 
Back
Top Bottom