Wala si vitu vya kijinga.
Nakwambia hivi, watu wengi sana wana tazama haya mazaga tena wengine ukiwajua ni ngumu kuamini kama ni wao
Ni vile tu picha hizi watu wana zitazama kwa usiri mkubwa sana.
Kuna clip moja ilivuja ikimuonesha Julius Malema yule kiongozi mwanaharakati wa South Afrika simu yake ilikuwa na pilau anacheki.
Siku moja kwenye pitapita zangu Facebook kwenye haya magroup ya pilau, Huwa si kuna majina ya members wa group husika.
Sasa kucheki cheki members wa group namuona rafiki yangu mmoja wa facebook ambaye tunafahamiana kabisa physically pia namuheshimu sana, Na yeye ni member wa pilau..
Nikacheka kimya kimya[emoji1] nikakumbuka ule wimbo wa Ney wa Mitego, ule wa kumbe na wewe upoooo...!!! Aiyayaa...!!