DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Nape ni mtu mmoja mjinga sana, anapenda sana vitu vya kijinga jinga... Km nae anapenda kuangalia video za pilau basi ni mjinga mwenzangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
detoHili andiko bana eti mtu aziniye na mwanamke.Sasa tuzini na nani?????
Ufungwe tuendelee na maombi, hao kuacha hawawezi. Chadema wakitaka vijana waandamane wawashawishi serikali wakataze matumizi ya VPN uone 😂😂😂usitishwe tu kwa mapumziko mafupi kidogo, bado wadau hawajathema
Kumbe nawe bhangi 😂😂😂deto
Chadema tena mama mchungaji 🤣Ufungwe tuendelee na maombi, hao kuacha hawawezi. Chadema wakitaka vijana waandamane wawashawishi serikali wakataze matumizi ya VPN uone 😂😂😂
Kabisa au zikatoka zenyewe au kama una mke ukamlamba maziwa ukijishika chini zimekutokana ukajikuta unajichukulia sheria mkononi na kuangamiza viumbe maskini wasio na hatia na huenda walikua viongozi wajao wa nchi aissee...
kidole imeteleza kidogo, mama mchungaji samahan kipenzi changuKumbe nawe bhangi 😂😂😂
Aisee basi hii nchi naona ina mahila tu. Maana tunavyo penda kudinyanaMithali 6:32 "Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa"
Kwahiyo mweshimiwa waziri Nape kwa kupenda ngono "hana akili kabisa"
😂😂😂 Hadi wazee wataandamanaChadema tena mama mchungaji 🤣
Hiyo vita yake sijui ata kama maombi itasaidia....
Wewe unanipa wasiwasi sijui uko upande gani? 😂😂😂kidole imeteleza kidogo, mama mchungaji samahan kipenzi changu
ooh tena mama mchungaji kipenzi changu, pole Mtumishi..Wewe unanipa wasiwasi sijui uko upande gani? 😂😂😂
Amen 🙏ooh tena mama mchungaji kipenzi changu, pole Mtumishi..
Hivi sasa nafanya maombi mafupi, Namuomba Roho Mtakatifu katika ulimwengu wa Roho anitambulishe vema moyoni mwako na akujulishe wito wangu kwa waja na watoto wake katika ulimwengu huu, ikiwa ni pamoja na wewe mpenzi, mwenzi na msaidizi wangu katika kazi na majukumu ya kuhubiri neno na masuala mbalimbali ya kijamii, kisiasa, kiuchumi, kiutamaduni Sayansi na Techologia ...
Katika sifa na Utukufu wa jina lake Amen 🙏
AimenAmen 🙏
Nae mtu anaongeza ujuzi, elimu haina mwisho na mwisho ni yenyewe.Mweshimiwa waziri Nape anaangalia ngono! Hii nchi inaongozwa na walaaniwa!
🤣🤣😁😁Nae mtu anaongeza ujuzi, elimu haina mwisho na mwisho ni yenyewe.
Duuh aseMheshimiwa anafungia VPN kumbe nae huwa anaangalia video za Pilau 😂😂😂 credit by spana konk
View attachment 2813156
🤣🤣🤣😁Duuh ase