rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Asitufungiee bhasiii mpaka vpn wanafungiaa wakati yeye waziriii anafollow page za ngonoHiyo kawaida tatizo lake ni kuperuzi na kufuatilia hiyo makitu kwa utambulisho wake rasmi.
Wengi tu wanaingia anonymously maisha yanaendelea.
After all, he is a human being and we're all human beings with feelings and emotions.