Nape Nnauye abadilishwe Wizara haraka sana

Eng Kundo ana mapungufu yake , lakini ni bora kuliko Nape , Nape ni kituko , anafanya mambo ya hatari sana , lakini kwenye public ana dsplay sympath, ni mhujumu mkubwa sana wa Mama Samia na anatumwa na watu wa hovyo sana
Hizi ni personal attacks tu, kwani kutoka kusimamiwa na utumishi kwenda kusimamiwa na wizara inayohusika na TEHAMA mbona ni sawa? Wakati eGA inaanzishwa wizara ya TEHAMA haikuwepo, ndiyo maana ikasimamiwa na Utumishi, sasa ivi wizara ipo, Kuna shida Gani kwenda wizara husika???

Yaani kama kijijini kwenu mlikuwa mnapanda Lori kwenda mjini kwa sababu mabasi hayakuwepo, sasa ivi yamekuja mabasi mtaendelea kupanda malori?? Declare kwanza interest, inaonekana uko wizara ya Utumishi ambapo mmezoea kutawala wizara nyingine kwa kugawana vyeo, Kuna kamtindo kameanza siku izi mkurugenzi akistaafu wizara flani badala ya kupandishwa cheo aliye chini yake mnaleta junior (relatively) staff Toka Utumishi kuchukuwa nafasi
 
Nchi hii kila Kona ni vilio.

Na kimtu analia kwa wakati wake.


Ila Kwasababu wakati wengine wanalia wewe hukuona tatizo.


Na wewe ni zamu yako Sasa kuisoma namba
 
Umeongea sahihi sana, na una logic ,lakini hizo sio logic wanazotaka akina Nape kutumia
Kuna taarifa huna ndio maana unasema hivyo ungejua ungeogopa sana.
Lengo sio hilo, na taasisi ya E-GA iliwekwa makusudi chini ya ofisi ya Rais ili ilindwe maana serikal ilijua kabisa ikikaa chini ya wizara isiyo chini ya Rais wapigaji wataiua haraka sana , kwa hio logic zako ni sawa lakini sio zinazotumiwa na akina Nape kwa sasa.
Wao wana malengo tofauti kabisa.
Nimalize kwa kukwambia tu kuwa as we write this , tayari sysndicate ya kuua E-GA ina high profile leaders ambao tayar wana makampuni mkononi ya kureplace task za E-GA ,wanasubiri muda tu waangushe jiwe.
Huyo DG wa E-GA Ndomba , asipokua makini krismas ya mwaka huu hataila
 
Nchi hii kila Kona ni vilio.

Na kimtu analia kwa wakati wake.


Ila Kwasababu wakati wengine wanalia wewe hukuona tatizo.


Na wewe ni zamu yako Sasa kuisoma namba
Nchi ina vijana wa hovyo sana hahahaha
 
Mkuu asante kwa taarifa.
 
Nina wasiwasi na hoja yako,emu lete uthibitisho kuwa E-GA wapo chini ya Ofisi ya Utumishi?
Kama ipo huko basi itakuwa makosa makubwa sana ya kiufundi,inapaswa kuwepo chini ya Wizara ya Mawasiliano.
Ngoja nifatilie.
 
Hahaha
 
Huyu si ndiyo kafanya tuwakose Starlink ya Elon Musk na sasa wapo Kenya wanasambaza Internet kwa Bei Chee.Shida hawa Kenge wanamuina Samia kama Mama Yao na sio Rais!
 
Ndio matokeo ya kuwapa vilaza nafasi kubwa za maamuzi, wakati wa JPM hakukuwa na wajinga kama hao kwenye nafasi za maamuzi
 
Kuna kila dalili unapotosha hapa ili msiamishiwe TEHAMA. EGA inafaa kuwa huko na sio Utumishi.

Kuna uwezekano kabisa kwenye mfumo mlishatengeneza mirija yenu, mkijua wizara mliyopo nyie ndio final kwenye technology, sasa mnaogopa pelekwa TEHAMA mkijua mtakuja kuumbuka.

EGA inafaa kwenda TEHAMA ili kuweza rahisisha integration ya makorokocho mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…