KERO Nape Nnauye afungia mtandao wa Clubhouse, haupatikani Tanzania bila VPN

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Si alikuwa anasifiwa juzi tu![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahahah nakumbuka kitenge alimtetea akimwambia jamaa,ahh unaharibu😅😅
 
Kuna taarifa yoyote toka twitter inayozungumzia hili? kama unayo tuwekee hapa.

Isijekuwa kwasababu ulikuwa unakerwa na nondo za kule Space, umeona utafute sababu kutetea uamuzi wa kidikteta uliofanywa na serikali uipendayo.
Ntaiweka, subiri
 
Umeandika kama vile kuna tofauti kati ya Nape wa Magufuli, na Nape wa Samia.

Nape ni huyo huyo wa Magufuli, wakati ule Samia akiwa msaidizi wa Magufuli, hivyo sishangai tabia za Nape kuendelea kama sasa yule msaidizi wa Magufuli yupo ikulu.
Kwahiyo mkuu unaamini Samia anahusika au analijua hili jambo?
 
Napee huwa kichwan kajaza Uozo, ana siasa ya Akina kibajaji Domo!

Hata Elimu tuu, ana Elimu za wahindi zile ambazo, ukishindwa sana unabebwa bebwa.
Nape kama asingekuwa mtoto wa kiongozi, ungekuta leo hii ni dereva bodaboda huko Mtama!.
Sawa na yule mtoto wa Kawawa mbunge kule Namtumbo.
Yaani ukimcheki hata sura tu unauona ukilaza!!.
 
Twitter bado ipo mapambano yanaendelea
 
Uchaguzi tayari hao ndo ccm kwanza washaanza kuirudisha radio free afrika
 
Tuna haki ya kujua sababu. So far kaufungia kimyakimya.

Na huo mtandao ni multipurpose, watu wanajifunza mengi, kila aina ya elimu.

“Tuna haki ya kujua” ni kweli lakin mbona hujauliza mamlaka husika?

Umeanza na assumptuion na malalamiko?

Huku jF hutopata direct answers why zaid ya speculation, how about umfuate muhusika?
 
At any rate and reason, Nape hapashwi kufungia mtandao wowote!!

Am sorry kukwambia yes he can. If he cant direct he can use his influence to do that. cheo alichonacho kinampa hiyo power
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbe wanakuwa bwiii
 
Am sorry kukwambia yes he can. If he cant direct he can use his influence to do that. cheo alichonacho kinamoa hiyo power
Mamlaka nayo ninachosema ni kuwa kwa kipindi hiki Cha Samia Nape anakuwa lofa kufanya hivyo
 
Hakuna kitu kama hicho.

Kampuni ya Clubhouse haijafunga mtandao wao, hii ni kazi ya mamlaka za humuhumu nchini.

Hakuna mtandao wa kijamii usiopenda wanachama wapya, maana members wengi ni potential money in the future.
 
Hebu ficha upumbavu wako.
Wingi wa watu ndiyo mtaji kwa wamiliki wa hii mitandao, kamwe hawawezi kukubali kupoteza mtaji wao (watu) kizembe namna hiyo.
Kama wangeufungia wamiliki tusingeweza kuupata hata kwa vpn.
 
Hebu ficha upumbavu wako.
Wingi wa watu ndiyo mtaji kwa wamiliki wa hii mitandao, kamwe hawawezi kukubali kupoteza mtaji wao (watu) kizembe namna hiyo.
Kama wangeufungia wamiliki tusingeweza kuupata hata kwa vpn.
VPN mnaupata kwa kuzunguka sana, huo mtandao unakufa kama ilivyokufa yahoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…