Nape Nnauye aliyekuambia kuwa wanaoshinda Mitandaoni 24/7 hawachangii katika kuiletea nchi Maendeleo kama uliyoyaona huko Korea ni nani?

Nape Nnauye aliyekuambia kuwa wanaoshinda Mitandaoni 24/7 hawachangii katika kuiletea nchi Maendeleo kama uliyoyaona huko Korea ni nani?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Hivi kwanini mkipata Madaraka na mnapokuwa mbele ya Camera huwa mnakuwa Majuha ( Fools ) sana na Kuboa hivi?

===
Alichokisema Nape Nnaye: “Lazima tujenge culture [utamaduni] ya kufanya kazi. Hii culture ya watu wanashinda mtandaoni masaa 24, halafu baada ya pale mfukoni hamna kitu, hii culture lazima tuipige vita vinginevyo hatuwezi kutoka, na ni kupitia kazi, watu wasifikiri kuna mjomba atakuja mahali akuletee maendeleo ya maisha yako. Serikali kazi yake ni kutengeneza mazingira mazuri ya watu kufanya kazi zao.” – Nape Nnauye, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Pia soma=> Gerson Msigwa: Tozo kwenye Miamala ya kutoa pesa bado ipo
 
“Lazima tujenge culture [utamaduni] ya kufanya kazi. Hii culture ya watu wanashinda mtandaoni masaa 24, halafu baada ya pale mfukoni hamna kitu, hii culture lazima tuipige vita vinginevyo hatuwezi kutoka, na ni kupitia kazi, watu wasifikiri kuna mjomba atakuja mahali akuletee maendeleo ya maisha yako. Serikali kazi yake ni kutengeneza mazingira mazuri ya watu kufanya kazi zao.” – Nape Nnauye, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
 
Sasa mkuu Genta kama hata kule India alifeli unategemea kunaweza kutoka kiongozi mule? Kimsingi Nepi sijui nape ni mchumia tumbo flani hivi anayebebwabebwa na Hanganya kwa ufupi ni empty headed fellow kama kina mwijaku tu na babalevo.
 
Hivi kwanini mkipata Madaraka na mnapokuwa mbele ya Camera huwa mnakuwa Majuha ( Fools ) sana na Kuboa hivi?

===
Alichokisema Nape Nnaye: “Lazima tujenge culture [utamaduni] ya kufanya kazi. Hii culture ya watu wanashinda mtandaoni masaa 24, halafu baada ya pale mfukoni hamna kitu, hii culture lazima tuipige vita vinginevyo hatuwezi kutoka, na ni kupitia kazi, watu wasifikiri kuna mjomba atakuja mahali akuletee maendeleo ya maisha yako. Serikali kazi yake ni kutengeneza mazingira mazuri ya watu kufanya kazi zao.” – Nape Nnauye, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Yeye anajua sie wote tupo Kama kina mwashambwa na kina kipara kipya wanaishi Kwa kuwategemea wao hapo LUMUMBA
 
Watapingaje?

1. Kuongeza bei za bando?

2. Kufungia mitandao ya Kijamii pendwa? km Tiktok, Instagram, FB?

3. Kufanya msako?
 
Huyu bwana na diploma yake ni tabu na kiama kwa nchi hii,hapo tutegemee bando kupandishwa bei,gb1 sh 5000.

Sasa ulazimishe ntu kufanya kazi utadhani anaishi kwako,je hilo bando la kushinda mtandaoni anapewa bure?

Hopless minister ever
 
Back
Top Bottom