Nape Nnauye aliyekuambia kuwa wanaoshinda Mitandaoni 24/7 hawachangii katika kuiletea nchi Maendeleo kama uliyoyaona huko Korea ni nani?

Nape Nnauye aliyekuambia kuwa wanaoshinda Mitandaoni 24/7 hawachangii katika kuiletea nchi Maendeleo kama uliyoyaona huko Korea ni nani?

Huyu bwana na diploma yake ni tabu na kiama kwa nchi hii,hapo tutegemee bando kupandishwa bei,gb1 sh 5000.

Sasa ulazimishe ntu kufanya kazi utadhani anaishi kwako,je hilo bando la kushinda mtandaoni anapewa bure?

Hopless minister ever
Ashukuru kwa kupata nafasi huko serikalini,huyo bila huko huku mtaani angepigika sana

Ova
 
Nape ni product ya Sauti kama yule shabiki lialia wa simba.
Kumbe Tanzania kuna Chuo Kikuu kinaitwa Sauti? Nilikuwa sijui ila ninachojua Chuo Kikuu kilichopo na Geniuses ni SAUT Mwanza.
 
Wanaoshinda mitandaoni wanaiingizia serikali mapato kupitia Vifurushi Kuna Kodi mule

Nape anapiga vita TRA isiingize pesa .Hayo marupurupu kibao yatatoka wapi

Hajui umuhimu wa wizara yake kuwa inachangia vipi kwenye Pato la serikali yupoyupo tu
 
Ndio watu waache kushobokea mikutano ya wanasiasa au vi press vyao yani ahutubie viti na meza mbona watatia akili
Bashasha zinarun mambo, hamna media hata moja itaweza kususia mkutano wana Nape
 
Serikali kutengeneza mazingira mazuri watu kufanya kazi wakati TRA ndo mdudu namba moja kuhakikisha tunafunga biasha zetu.

Labda aseme kwa wao wanasiasa kuwekeana mazingira mazuri kula cake ya taifa.
 
Mwenye Ile clip ya nape anaeda ikulu analia na kufuta machozi kuomba msamaha Kwa mzalendo Magufuli aiweke.
 
MUNGU huwa hawanyimi watu wake nafasi ya kujitetea. Sasa ngoja itatokea tena nafasi ya kumnyoosha huyu ng'ombe, atanyooka tu na tutamnyoosha kisawasawa tu.
 
Hivi kwanini mkipata Madaraka na mnapokuwa mbele ya Camera huwa mnakuwa Majuha ( Fools ) sana na Kuboa hivi?

===
Alichokisema Nape Nnaye: “Lazima tujenge culture [utamaduni] ya kufanya kazi. Hii culture ya watu wanashinda mtandaoni masaa 24, halafu baada ya pale mfukoni hamna kitu, hii culture lazima tuipige vita vinginevyo hatuwezi kutoka, na ni kupitia kazi, watu wasifikiri kuna mjomba atakuja mahali akuletee maendeleo ya maisha yako. Serikali kazi yake ni kutengeneza mazingira mazuri ya watu kufanya kazi zao.” – Nape Nnauye, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
NASIKIA UNENE WAKE ALIUPATA ALIVOKWENDA INDIA KUSOMA ZILE CHAPATI NA ROST ZA MAFUTA MENGI
 
Hivi aliyetoa wazo jamaa awe waziri wa teknolojia ni nani? Jinsi advancement ya technology inavosogea aisee, unabaki kucheka tu ukisikia hizi habari 😃
 
Hivi kwanini mkipata Madaraka na mnapokuwa mbele ya Camera huwa mnakuwa Majuha ( Fools ) sana na Kuboa hivi?

===
Alichokisema Nape Nnaye: “Lazima tujenge culture [utamaduni] ya kufanya kazi. Hii culture ya watu wanashinda mtandaoni masaa 24, halafu baada ya pale mfukoni hamna kitu, hii culture lazima tuipige vita vinginevyo hatuwezi kutoka, na ni kupitia kazi, watu wasifikiri kuna mjomba atakuja mahali akuletee maendeleo ya maisha yako. Serikali kazi yake ni kutengeneza mazingira mazuri ya watu kufanya kazi zao.” – Nape Nnauye, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Mshana Jr
 
Anajimwambafai anajiona mjanja kumbe boya tu,kiboko yake alikuwa Mr.Cows Village hadi akaamua kwenda kumpigia magoti Ikulu....
 
Back
Top Bottom