GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
ndo viongozi wetu mkuu wanasema kula kwa zamu 😂Hivi kwanini mkipata Madaraka na mnapokuwa mbele ya Camera huwa mnakuwa Majuha ( Fools ) sana na Kuboa hivi?
Kuna mua naona ni bora tu angemaliza Shughuli nzima Siku ile ile kuliko kutubakizia haya matatizo huku Kitenge akimtetea.Hivi yule askari aliyemsulubu nape yupo wapi 😄
Ova
Yeye anajua sie wote tupo Kama kina mwashambwa na kina kipara kipya wanaishi Kwa kuwategemea wao hapo LUMUMBAHivi kwanini mkipata Madaraka na mnapokuwa mbele ya Camera huwa mnakuwa Majuha ( Fools ) sana na Kuboa hivi?
===
Alichokisema Nape Nnaye: “Lazima tujenge culture [utamaduni] ya kufanya kazi. Hii culture ya watu wanashinda mtandaoni masaa 24, halafu baada ya pale mfukoni hamna kitu, hii culture lazima tuipige vita vinginevyo hatuwezi kutoka, na ni kupitia kazi, watu wasifikiri kuna mjomba atakuja mahali akuletee maendeleo ya maisha yako. Serikali kazi yake ni kutengeneza mazingira mazuri ya watu kufanya kazi zao.” – Nape Nnauye, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Nimecheka mpaka basi Mkuu.Amshukuru mno Maulidi.
Unamtaka huyo askari aje amalizie kazi yake nini?Hivi yule askari aliyemsulubu nape yupo wapi 😄
Ova
Leo Ikulu huku Mmoja wa Waanzilishi wa JamiiForums Mike Mushi akimtizama.Kaiongea wapi hii?
Alimpomsukuma,nape alikuwa mpole 😄 lile tukio lazima litakuwaUnamtaka huyo askari aje amalizie kazi yake nini?