Ashukuru kwa kupata nafasi huko serikalini,huyo bila huko huku mtaani angepigika sanaHuyu bwana na diploma yake ni tabu na kiama kwa nchi hii,hapo tutegemee bando kupandishwa bei,gb1 sh 5000.
Sasa ulazimishe ntu kufanya kazi utadhani anaishi kwako,je hilo bando la kushinda mtandaoni anapewa bure?
Hopless minister ever
Mkuu Kuomba upewe mpunga mrefu siyo kazi ndogoKumbe kutembeza bakuli Kwa majirani ukiombaomba nayo ni KAZI🤔
Kumbe Tanzania kuna Chuo Kikuu kinaitwa Sauti? Nilikuwa sijui ila ninachojua Chuo Kikuu kilichopo na Geniuses ni SAUT Mwanza.Nape ni product ya Sauti kama yule shabiki lialia wa simba.
Kwamba begging nayo ni KAZI!!!Mkuu Kuomba upewe mpunga mrefu siyo kazi ndogo
Ova
Bashasha zinarun mambo, hamna media hata moja itaweza kususia mkutano wana NapeNdio watu waache kushobokea mikutano ya wanasiasa au vi press vyao yani ahutubie viti na meza mbona watatia akili
NASIKIA UNENE WAKE ALIUPATA ALIVOKWENDA INDIA KUSOMA ZILE CHAPATI NA ROST ZA MAFUTA MENGIHivi kwanini mkipata Madaraka na mnapokuwa mbele ya Camera huwa mnakuwa Majuha ( Fools ) sana na Kuboa hivi?
===
Alichokisema Nape Nnaye: “Lazima tujenge culture [utamaduni] ya kufanya kazi. Hii culture ya watu wanashinda mtandaoni masaa 24, halafu baada ya pale mfukoni hamna kitu, hii culture lazima tuipige vita vinginevyo hatuwezi kutoka, na ni kupitia kazi, watu wasifikiri kuna mjomba atakuja mahali akuletee maendeleo ya maisha yako. Serikali kazi yake ni kutengeneza mazingira mazuri ya watu kufanya kazi zao.” – Nape Nnauye, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Wacha waendelee kumuamsha dubu aliyelala. We kaa kimya tuwaache wajifariji.Ajira wanapeana kwa kujuana lakini bado wanataka kuhangaika na wakina sisi tunaojiliwaza mitandaoni daah so sad [emoji24][emoji24][emoji24]
Mshana JrHivi kwanini mkipata Madaraka na mnapokuwa mbele ya Camera huwa mnakuwa Majuha ( Fools ) sana na Kuboa hivi?