Nape Nnauye amjibu Mangula, ni Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo

Kaka toa maoni kutokana na hoja ya nappe mbona tunapenda majungu sio poa. Nape katoa mawazo yake toa na wewe yakwako. Tabia ya usaka fursa ipo miaka mingi hata ingekuwa wewe
Mim sio mfuasi wahawa wachawi wakijani Ila alichoobgea nape kuhusu mada husika nifact tupu.
 
Ccm Mangula peke yake ndiye aliyebaki na akiba ya akili
 
Hawa vijana wasioweza kulitumikia taifa mpaka wawe mawaziri hawafai, wanajiona bora zaidi ya wengine, uongozi wa serikalini usitafutwe kwa kelele nyingi za mitandaoni, uadilifu wa mtu na uchapakazi wake ndio uwe vigezo.
Amesahau alipotembea toka lango la Ikulu mpaka kwa mkulu miwani akiiona mizito. Bangladeshi
 
Ni kweli lakini alichokisema Nape kipo sawa, tumjibu tu kwa màmlaka gani hizo project zilitekelezwa wakati wa awamu ya tano bila kuwa katika ilani ya CCM ya uchaguzi? Na kwa nini hii project ya sasa ilete sintofahamu.

Kosa halifanyi uhalali wa kosa jingine kuwa sawa ila tumjibu bila kumbeza, ana hoja ya msingi sana.
 
Nape amekuwa amechanganyiliwa tangu alipotumbuliwa uwaziri.hivi unawezake kuanzisha kitu ambacho hukukipanga na wala hakipo kwenye bajeti.ni kweli kuna miradi mingi ilitekelezwa bila kupangwa lkn hii sio sahihi na ndo maana humu ndani wengi tulichalenji sana kama vile mamiradi ya kununua madege nk.Mangula yuko sawa mamiradi mengi sasa hivi yamestaki kwa nn uanzishe mengine.wakamilishe kwanza yaliyopo.hiyo bandari ina umuhimu gani kwa sasa kama sio siasa uchwara tu.barabara za kwenda kigoma mpaka sasa ni vumbi pia katavi tabora ni vumbi,barabara za kigoma dar bado hazijakamilika halafu unaibua mamiradi mengine ya nini?sasa hivi sukari tu ni issue,maji ni shida,umeme ni balaa halafu watatuletea hadithi ya bandari ya bagamoyo.kuna nini huko bagamoyo?
 
Wote wanapigania maslahi yao binafsi
 
Mangula aache ujinga
 
Hawa vijana wasioweza kulitumikia taifa mpaka wawe mawaziri hawafai, wanajiona bora zaidi ya wengine, uongozi wa serikalini usitafutwe kwa kelele nyingi za mitandaoni, uadilifu wa mtu na uchapakazi wake ndio uwe vigezo.
Hoja ya kijinga toka kwenye ubongo mdogo Kama uduvi
 
Wazee wajifunze kustaafu hatakama bado unasifiwa na unadhani unapendwa!!!
 
Unaamini Mangula hatakiwi kumpinga mama Samia, Ila hapohapo unakubaliana na nape kumpinga mangula
 
CCM huwa mfumo wake wa kujiimarisha ni kuparurana baada yapo huwa imara mpaka upite uchaguzi wala usishangae utaachwa wewe kama alivyowachwa Lissu!
Hivi wewe bila kumtaja LISSU huwa ''MAVI '' ya KUHARA huwa yanakushika sana???
 
Hawa vijana wasioweza kulitumikia taifa mpaka wawe mawaziri hawafai, wanajiona bora zaidi ya wengine, uongozi wa serikalini usitafutwe kwa kelele nyingi za mitandaoni, uadilifu wa mtu na uchapakazi wake ndio uwe vigezo.
Ni kweli kabisa, kingine kuzaliwa kwenye familia za viongozi wa kisiasa wanajiona ni watu muhimu Sana ni lazima waongoze tu,kumbe njaa ya madaraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…