Hapana serikali hailipi kitu mradi unajilipia wenyewe kwa maana mkataba wa mwekezaji kuendesha bandari miaka kadhaa na huku wakilipa tax mwekezaji anafanya biashara miaka fulani kwa mahesabu muda huo atakuwa amerudisha na faida juu baada ya hapo wanakabidhi kwa serikali. issue ni huo mkataba kuwa na vifungu balance kwa serikali na mwekezeji. Ila serikali haitoi hata shilling inatoa ardhi yake tu kufanyiwa biashara.Serikali itahitaji ilipe gharama zote ili mradi urudi kwa serikali