Hapana serikali hailipi kitu mradi unajilipia wenyewe kwa maana mkataba wa mwekezaji kuendesha bandari miaka kadhaa na huku wakilipa tax mwekezaji anafanya biashara miaka fulani kwa mahesabu muda huo atakuwa amerudisha na faida juu baada ya hapo wanakabidhi kwa serikali. issue ni huo mkataba kuwa na vifungu balance kwa serikali na mwekezeji. Ila serikali haitoi hata shilling inatoa ardhi yake tu kufanyiwa biashara.Serikali itahitaji ilipe gharama zote ili mradi urudi kwa serikali
Ukiona kutokufuata ilan ya chama cha mapinduzi ujue ni jambo la kawaida na hakuna cha ajabu. Isiwe kweny awam hii ndo ionekane ni makosa wakat awam zilizopita ilikua hivyo. Kikubwa ni kama miradi ina tija kwa Taifa acha iendelee!!!Ikiwa JK na JPM walikosea basi inapaswa kila anayekuja akosee?
Na hii yote ni kundi la lile la MATAGANIST ndilo linapigana mwanzo mwisho kupinga yanayoendelea awamu hii! All in all polen san kwa unexpected situation!!!Ukiangalia kwa makini utagundua wachangiaji wengi hawatoi hoja zaidi ya kumshambilia nape. Tuna kizazi ambacho kinapenda majungu kuliko ukweli wenyewe hii ni hatari kwani kizazi hiki ndicho kinatoa viongozi wa kutupeleka kwenye nchi ya ahadi
Polen sana bwashee hii yote inakuja cause ya ile matokeo ya 17march, its real painful for unexpected situation like that! So sorry bwashee and co.Hahaaaa bwashee