Pre GE2025 Nape Nnauye amtabiri mshindi wa Uenyekiti wa CHADEMA Taifa bila goli la mkono

Pre GE2025 Nape Nnauye amtabiri mshindi wa Uenyekiti wa CHADEMA Taifa bila goli la mkono

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa Nape Moses Nnauye ambaye ameshika nafasi mbalimbali ndani ya CCM na serikali kuanzia ukuu wa wilaya,Mwenezi wa CCM Taifa pamoja na UWaziri .

Ameibuka kibabe na kutoa uchambuzi wake mfupi na tathmini yake fupi juu ya nani anakwenda kuibuka kidedea katika kinyang'anyiro cha uenyekiti wa CHADEMA Taifa.

Ambapo amesema uchaguzi ni namba na kwa namba za sasa Amemtaja mshindi wa kito hicho hata Kabla ya kufanyika uchaguzi. Ikumbukwe ya kuwa huyu Mwamba ni Miongoni kwa Waenezi wa CCM machachari kwelikweli kuwahi kushika nafasi hiyo na ambaye alijua kucheza na akili za upinzani na kugusa hisia za watu mpaka kuwabubujisha machozi ya furaha.

Huyu Mwamba alikuwa Mtata kwelikweli kwenye vimisemo vya hapa na pale ambavyo vimeendelea kubakia kama kumbukumbu katika uga wa siasa. Mfano wa kauli zake zilizotikisa ni kama ile ya Bao la Mkono. Huyu Mwamba alikuwa akishika Maiki inakuwa balaa kwelikweli.

Lakini pia huyu Mwamba wakati wake alijua namna ya kucheza na mitandao katika kukisemea chama na kukitetea ni wakati wake ambapo vijana wengi sana walijaa hapa jukwaani kukitetea chama na kukipigania usiku na mchana na ni wakati wake hadi kuliibuka jina la utani kwa wafuasi wa CCM humu jukwaani kwa kuitwa LUMUMBA BUKU 7😀😀.

Watu wakifirkiria kuwa pengine vijana walikuwa wakilipwa kwa namna walivyokuwa wakichapa kazi bila kuchoka wala kupumzika mpaka upinzani hasa CHADEMA ukawa unafikia hatua ya kukata pumzi na kuanza kuporomosha matusi kama vichaa au wendawazimu.,

Watu wanashindwa kuelewa kuwa sisi wana CCM huwa tunafanya kwa zetu kizalendo kwa kujitolea kwa hali na mali bila kupewa malipo wala kuhitaji malipo. Maana vitu vizuri hujengwa na mioyo yenye kujitolea.ndio maana wengine hufikia hatua ya kufikiri labda hata mimi nalipwa kuwepo hapa jukwaani bila kujua ni misingi tuliyojengewa ndani ya CCM kukipigania chama chetu kwa jasho na kwa kujitolea bure kabisa.

View attachment 3180134

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Namba ni facts na ziko kwenye makaratasi zinaweza kubadilishwa na ukweli ambao nyinyi mnaugopa.Ukweli hauna mbadala.Labda wajumbe ajizi.
 
Namba ni facts na ziko kwenye makaratasi zinaweza kubadilishwa na ukweli ambao nyinyi mnaugopa.Ukweli hauna mbadala.Labda wajumbe ajizi.
Sasa kama wewe una akili Timamu unaweza kushindwa kuelewa kuwa lissu atangukia pua na kuvunja meno? Embu jiulize wenyeviti wangapi walihudhuria jana kumtaka na kumuomba Mbowe agombee Uenyekiti? Je uliona lissu ameungwa mkono na wenyeviti gani wa CHADEMA? Sasa wewe huoni kuwa Mbowe atashinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Tanzania?
 
Akili zangu timamu haziangalii wingi wa wenyeviti walioitwa na mwkt;Ninaangalia hoja za mtangaza nia, mwkt bado hajatangaza nia.
 
Kwa hiyo na wewe na akili zako Timamu unaweza moja kura lissu?
Mimi hupenda watu wanyoofu na wakweli...

Kwakweli kura yangu ningempa Lissu...

Nimezaliwa na uwezo ambapo nikimuangalia mtu mala moja tu naweza kujua tabia zake...

Mfano pale Chadema kuna viongozi wengi sio wapinzani ni wasaka fedha tu, na Mbowe ni mmoja wao...

Kuna watu kama Zitto Kabwe, Yericko Nyerere, Boni Yai, Martin Masese, Lema, Maalim Seif, Fatuma Karume hawa ni CCM ila sio rahisi kuwajua.
 
Lissu ana nguvu gani? Mbona alikataliwa na watanzania alipogombea Urais 2020?
Kwamba kura halali ndo zinaamuaga mshindi? Kwenye tume iliyoteuliwa na Nani? Tena wa itikadi gani ya kisiasa?? Kuwa serious basi, nchi za watu zimee ndelea baada ya kuacha usenge usenge kwenye michakato muhimu kama uchaguzi. ....
UNAINGILIWA SI BURE.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa Nape Moses Nnauye ambaye ameshika nafasi mbalimbali ndani ya CCM na serikali kuanzia ukuu wa wilaya,Mwenezi wa CCM Taifa pamoja na UWaziri .

Ameibuka kibabe na kutoa uchambuzi wake mfupi na tathmini yake fupi juu ya nani anakwenda kuibuka kidedea katika kinyang'anyiro cha uenyekiti wa CHADEMA Taifa.

Ambapo amesema uchaguzi ni namba na kwa namba za sasa Amemtaja mshindi wa kiti hicho hata Kabla ya kufanyika uchaguzi. Ikumbukwe ya kuwa huyu Mwamba ni Miongoni kwa Waenezi wa CCM machachari kwelikweli kuwahi kushika nafasi hiyo na ambaye alijua kucheza na akili za upinzani na kugusa hisia za watu mpaka kuwabubujisha machozi ya furaha.

Huyu Mwamba alikuwa Mtata kwelikweli kwenye vimisemo vya hapa na pale ambavyo vimeendelea kubakia kama kumbukumbu katika uga wa siasa. Mfano wa kauli zake zilizotikisa ni kama ile ya Bao la Mkono. Huyu Mwamba alikuwa akishika Maiki inakuwa balaa kwelikweli.

Lakini pia huyu Mwamba wakati wake alijua namna ya kucheza na mitandao katika kukisemea chama na kukitetea ni wakati wake ambapo vijana wengi sana walijaa hapa jukwaani kukitetea chama na kukipigania usiku na mchana na ni wakati wake hadi kuliibuka jina la utani kwa wafuasi wa CCM humu jukwaani kwa kuitwa LUMUMBA BUKU 7😀😀.

Watu wakifikiria kuwa pengine vijana walikuwa wakilipwa kwa namna walivyokuwa wakichapa kazi bila kuchoka wala kupumzika mpaka upinzani hasa CHADEMA ukawa unafikia hatua ya kukata pumzi na kuanza kuporomosha matusi kama vichaa au wendawazimu.,

Watu wanashindwa kuelewa kuwa sisi wana CCM huwa tunafanya kazi za chama kizalendo kwa kujitolea kwa hali na mali bila kupewa malipo wala kuhitaji malipo. Maana vitu vizuri hujengwa na mioyo yenye kujitolea.ndio maana wengine hufikia hatua ya kufikiri labda hata mimi nalipwa kuwepo hapa jukwaani bila kujua ni misingi tuliyojengewa ndani ya CCM kukipigania chama chetu kwa jasho na kwa kujitolea bure kabisa.

View attachment 3180134

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Zilaaniwe Shahawa chafu zilizokuzaa kocho wewe
 
Back
Top Bottom