Pre GE2025 Nape Nnauye amtabiri mshindi wa Uenyekiti wa CHADEMA Taifa bila goli la mkono

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hamna uchaguzi hapo ni maigizo tu, hicho chama vi viroja tu wapewe chao watie mfukoni basi
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa Nape Moses Nnauye ambaye ameshika nafasi mbalimbali ndani ya CCM na serikali kuanzia ukuu wa wilaya,Mwenezi wa CCM Taifa pamoja na UWaziri .

Ameibuka kibabe na kutoa uchambuzi wake mfupi na tathmini yake fupi juu ya nani anakwenda kuibuka kidedea katika kinyang'anyiro cha uenyekiti wa CHADEMA Taifa.

Ambapo amesema uchaguzi ni namba na kwa namba za sasa Amemtaja mshindi wa kiti hicho hata Kabla ya kufanyika uchaguzi. Ikumbukwe ya kuwa huyu Mwamba ni Miongoni kwa Waenezi wa CCM machachari kwelikweli kuwahi kushika nafasi hiyo na ambaye alijua kucheza na akili za upinzani na kugusa hisia za watu mpaka kuwabubujisha machozi ya furaha.

Huyu Mwamba alikuwa Mtata kwelikweli kwenye vimisemo vya hapa na pale ambavyo vimeendelea kubakia kama kumbukumbu katika uga wa siasa. Mfano wa kauli zake zilizotikisa ni kama ile ya Bao la Mkono. Huyu Mwamba alikuwa akishika Maiki inakuwa balaa kwelikweli.

Lakini pia huyu Mwamba wakati wake alijua namna ya kucheza na mitandao katika kukisemea chama na kukitetea ni wakati wake ambapo vijana wengi sana walijaa hapa jukwaani kukitetea chama na kukipigania usiku na mchana na ni wakati wake hadi kuliibuka jina la utani kwa wafuasi wa CCM humu jukwaani kwa kuitwa LUMUMBA BUKU 7😀😀.

Watu wakifikiria kuwa pengine vijana walikuwa wakilipwa kwa namna walivyokuwa wakichapa kazi bila kuchoka wala kupumzika mpaka upinzani hasa CHADEMA ukawa unafikia hatua ya kukata pumzi na kuanza kuporomosha matusi kama vichaa au wendawazimu.,

Watu wanashindwa kuelewa kuwa sisi wana CCM huwa tunafanya kazi za chama kizalendo kwa kujitolea kwa hali na mali bila kupewa malipo wala kuhitaji malipo. Maana vitu vizuri hujengwa na mioyo yenye kujitolea.ndio maana wengine hufikia hatua ya kufikiri labda hata mimi nalipwa kuwepo hapa jukwaani bila kujua ni misingi tuliyojengewa ndani ya CCM kukipigania chama chetu kwa jasho na kwa kujitolea bure kabisa.

View attachment 3180134

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hawa ni moja ya vijana ovyo sana kweny hii Nchi ,mbali na tumbo na vyama vyao hawana lolote la maana Kwa ajili ya taifa letu ,mchango wao na uzalendo wao kweny taifa ni mdogo sana na wanapaswa kuitwa " betrayers of our national"
 
Mchango wa Mheshimiwa Nape Nnauye ni mkubwa sana kwa Taifa letu.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa Nape Moses Nnauye ambaye ameshika nafasi mbalimbali ndani ya CCM na serikali kuanzia ukuu wa wilaya,Mwenezi wa CCM Taifa pamoja na UWaziri .

Ameibuka kibabe na kutoa uchambuzi wake mfupi na tathmini yake fupi juu ya nani anakwenda kuibuka kidedea katika kinyang'anyiro cha uenyekiti wa CHADEMA Taifa.

Ambapo amesema uchaguzi ni namba na kwa namba za sasa Amemtaja mshindi wa kiti hicho hata Kabla ya kufanyika uchaguzi. Ikumbukwe ya kuwa huyu Mwamba ni Miongoni kwa Waenezi wa CCM machachari kwelikweli kuwahi kushika nafasi hiyo na ambaye alijua kucheza na akili za upinzani na kugusa hisia za watu mpaka kuwabubujisha machozi ya furaha.

Huyu Mwamba alikuwa Mtata kwelikweli kwenye vimisemo vya hapa na pale ambavyo vimeendelea kubakia kama kumbukumbu katika uga wa siasa. Mfano wa kauli zake zilizotikisa ni kama ile ya Bao la Mkono. Huyu Mwamba alikuwa akishika Maiki inakuwa balaa kwelikweli.

Lakini pia huyu Mwamba wakati wake alijua namna ya kucheza na mitandao katika kukisemea chama na kukitetea ni wakati wake ambapo vijana wengi sana walijaa hapa jukwaani kukitetea chama na kukipigania usiku na mchana na ni wakati wake hadi kuliibuka jina la utani kwa wafuasi wa CCM humu jukwaani kwa kuitwa LUMUMBA BUKU 7😀😀.

Watu wakifikiria kuwa pengine vijana walikuwa wakilipwa kwa namna walivyokuwa wakichapa kazi bila kuchoka wala kupumzika mpaka upinzani hasa CHADEMA ukawa unafikia hatua ya kukata pumzi na kuanza kuporomosha matusi kama vichaa au wendawazimu.,

Watu wanashindwa kuelewa kuwa sisi wana CCM huwa tunafanya kazi za chama kizalendo kwa kujitolea kwa hali na mali bila kupewa malipo wala kuhitaji malipo. Maana vitu vizuri hujengwa na mioyo yenye kujitolea.ndio maana wengine hufikia hatua ya kufikiri labda hata mimi nalipwa kuwepo hapa jukwaani bila kujua ni misingi tuliyojengewa ndani ya CCM kukipigania chama chetu kwa jasho na kwa kujitolea bure kabisa.

View attachment 3180134

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Used tp
 
Hakuna kitu hapo ni UPUZI UPUZI tu sijui uchawa utaacha lini
 
Acha ujinga dogo.ungeacha wenye akili Timamu na wanaojitambua wajadili hoja 😀
Ccm imewashika pabaya chadema. Leo ukishapita uchaguzi wao uje tena na kuandika mada zinazohusu chadema. Magoli ya mkono ni kazi ya ccm kutakaushindani huku wanatumia policcm.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa Nape Moses Nnauye ambaye ameshika nafasi mbalimbali ndani ya CCM na serikali kuanzia ukuu wa wilaya,Mwenezi wa CCM Taifa pamoja na UWaziri .

Ameibuka kibabe na kutoa uchambuzi wake mfupi na tathmini yake fupi juu ya nani anakwenda kuibuka kidedea katika kinyang'anyiro cha uenyekiti wa CHADEMA Taifa.

Ambapo amesema uchaguzi ni namba na kwa namba za sasa Amemtaja mshindi wa kiti hicho hata Kabla ya kufanyika uchaguzi. Ikumbukwe ya kuwa huyu Mwamba ni Miongoni kwa Waenezi wa CCM machachari kwelikweli kuwahi kushika nafasi hiyo na ambaye alijua kucheza na akili za upinzani na kugusa hisia za watu mpaka kuwabubujisha machozi ya furaha.

Huyu Mwamba alikuwa Mtata kwelikweli kwenye vimisemo vya hapa na pale ambavyo vimeendelea kubakia kama kumbukumbu katika uga wa siasa. Mfano wa kauli zake zilizotikisa ni kama ile ya Bao la Mkono. Huyu Mwamba alikuwa akishika Maiki inakuwa balaa kwelikweli.

Lakini pia huyu Mwamba wakati wake alijua namna ya kucheza na mitandao katika kukisemea chama na kukitetea ni wakati wake ambapo vijana wengi sana walijaa hapa jukwaani kukitetea chama na kukipigania usiku na mchana na ni wakati wake hadi kuliibuka jina la utani kwa wafuasi wa CCM humu jukwaani kwa kuitwa LUMUMBA BUKU 7😀😀.

Watu wakifikiria kuwa pengine vijana walikuwa wakilipwa kwa namna walivyokuwa wakichapa kazi bila kuchoka wala kupumzika mpaka upinzani hasa CHADEMA ukawa unafikia hatua ya kukata pumzi na kuanza kuporomosha matusi kama vichaa au wendawazimu.,

Watu wanashindwa kuelewa kuwa sisi wana CCM huwa tunafanya kazi za chama kizalendo kwa kujitolea kwa hali na mali bila kupewa malipo wala kuhitaji malipo. Maana vitu vizuri hujengwa na mioyo yenye kujitolea.ndio maana wengine hufikia hatua ya kufikiri labda hata mimi nalipwa kuwepo hapa jukwaani bila kujua ni misingi tuliyojengewa ndani ya CCM kukipigania chama chetu kwa jasho na kwa kujitolea bure kabisa.

View attachment 3180134

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Sasa amemtabiria nani? Mbona hajataja jina?
 
Kama mwamba atachukua fomu ni wazi atatoboa kwa sababu ni YEYE ndo ameineza CHADEMA akizunguka Tanzania nzima ! wakati huo jamaa akizurula ughaibuni.Sasa utamlinganisha vipi mwamba na huyo mzurulaji ?? JAMANI ACHENI MZAHA KWENYE HILI.
 
"Sisi wanaccm tunafanya kazi za chama kwa kujitolea".
JamiiForums-1143868749.jpg
 
Back
Top Bottom