Pre GE2025 Nape Nnauye amtabiri mshindi wa Uenyekiti wa CHADEMA Taifa bila goli la mkono

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hata ije Tume ya uchaguzi kutoka Marekani bado CCM itapita na kushinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima
 
Akili zangu timamu haziangalii wingi wa wenyeviti walioitwa na mwkt;Ninaangalia hoja za mtangaza nia, mwkt bado hajatangaza nia.
Sasa ina maana lissu hoja zake hazieleweki kwa yeyote yule mpaka anashindwa kupata uungwaji mkono?
 
Rubbish
 
Leo hii CCM wanapambana Mbowe ashinde!!! Mbowe huyuhuyu aliyeitwa dikteta!!! Mpaka hapo tushamjua mpinzani wa kweli ni nani na kibaraka amejulikana pia.
 
Leo hii CCM wanapambana Mbowe ashinde!!! Mbowe huyuhuyu aliyeitwa dikteta!!! Mpaka hapo tushamjua mpinzani wa kweli ni nani na kibaraka amejulikana pia.
Wewe unafikiri kuwa Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ni kazi nyepesi? Acheni Mbowe apewe Maua yake .
 
Kwahiyo baba wa Taifa ndio S.I unit wa umoko wa madaraka kwa viongozi karne hii ya 21, acha ujinga basi lucas
Upinzani unahitaji viongozi wenu roho ngumu kama Mbowe.wenye uwezo wa kujitoa na kujitolea kwa hali na mali.tofauti na lissu ambaye amekuwa akitanguliza mbele maslahi yake binafsi.kwanza lissu hana upendo kwa CHADEMA ndio maana hata kura hakupiga uchaguzi wa serikali za mitaa
 
Mbona NAPE yupo humu humu na Swahiba wako sana huwa mnapongezana mwanzo mwisho ?

Sema nini Lucas unajua kupangilia uandishi wako na huwa unavutia sana kusoma japo leo umeandika pumba tupu.
 
Nape kaongelea facts mkuu sio kuungana mkono... Nape anamuunga mkono mwenyekiti wake wa Taifa πŸ˜‚
Hakuna mwana CCM, hasa wale waliozoea siasa za uongo uongo anataka upande wa pili kuwe na Lissu...

So naamini wana CCM wababaishaji kama Nape, Makamba, Kikwete, Kinana na aina hiyo wangependa mwongo mwenzao Mbowe aendelee.
 
Hakuna mwenye akili Timamu mwenye kuweza kumchagua Lissu kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA.Ni Mwamba Mbowe ndio chaguo la wana CHADEMA
 
Hayawahusu.
 
wana CCM wamekubali yaishe nchi ipewe chadema sasa
 
Hakuna mwenye akili Timamu mwenye kuweza kumchagua Lissu kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA.Ni Mwamba Mbowe ndio chaguo la wana CHADEMA
Kwani Swahiba wako Tlaatlaa anasemaje ? 🀣🀣🀣

He was the former idealogy and publicity secretary somewhere........
 
Kwani Swahiba wako Tlaatlaa anasemaje ? 🀣🀣🀣

He was the former idealogy and publicity secretary somewhere........
Anabubujikwa na machozi ya furaha anapoona namna Mwamba Mbowe anavyoendelea kuungwa mkono na wenyeviti karibu wote wa CHADEMA kutoka kila kanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…