Cvez
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 4,405
- 13,411
Watu wanalalamika vifurushi kupanda bei ingawa hiyo kupanda bei tutapewa maelezo kua sisi tuna nafuu.
Kuna hii ya sasa kifurushi kinaisha haraka na maelezo kua ni hatujui kutumia simu, kweli?
Wakati ukweli ni 1GB ya 2 weeks ago sio sawa na 1GB ya sasa. Sasa hivi inapukutika wakati matumizi ni yale yale. Lakini ukimsikiliza kiongozi wetu anavyotoa majibu mepesi sasa!