Atakuwa ana commission yake, sio bureWatu wanalalamika vifurushi kupanda bei ingawa hiyo kupanda bei tutapewa maelezo kua sisi tuna nafuu.
Kuna hii ya sasa kifurushi kinaisha haraka na maelezo kua ni hatujui kutumia simu, kweli?
Wakati ukweli ni 1GB ya 2 weeks ago sio sawa na 1GB ya sasa. Sasa hivi inapukutika wakati matumizi ni yale yale. Lakini ukimsikiliza kiongozi wetu anavyotoa majibu mepesi sasa!
Sijapenda alivyokuwa akijibu yale maswali kwakweli! Najiuliza tu hii biashara sio huria!? Inakuwaje aliyeamua kutuuzia GB nyingi kwa bei chee na linadumu mda mrefu alazimishwe aliuze kwa bei ya aliye juu na bundle lake halidumu!!?Watu wanalalamika vifurushi kupanda bei ingawa hiyo kupanda bei tutapewa maelezo kua sisi tuna nafuu.