nilishangaa sana DAB kutotumbuliwa hapa
Mzee wa goli la mkono hana hamu wamemgeuka. Ila akome nae ndo madhara ya goli la mkono hayo malipo hapa hapa duniani. Bado waliomtolea bastola na wale wa amri kutoka juu wasubiri malipo yaoSiku hii ni moja ya siku ambayo haitasahaulika katika historia ya Taifa hili.
Eeh!! Bwanaee!!
Atakayesamehe unyama huu atakuwa mjinga sana !Mashehe wa Zanzibar,Viongozi wa CHADEMA walioko jela ni Majambazi?!!
Tena tutapigwa na butwaa.Atakayesamehe unyama huu atakuwa mjinga sana !
Sasa Nape karudi hewani na anasikika Kitaifa, huyu jamaa aliyemtolea bastola sijui yukoje hivi sasa.Siku hii ni moja ya siku ambayo haitasahaulika katika historia ya Taifa hili.
Eeh!! Bwanaee!!