Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari

Kwako unaona joto ya jiwe
Lakin hujui ina mana gani hilo tukio kwa nchi...
 
》》》Askari wengi ni Failure.... Hawana tofauti sana na Bashite aliyekula Faa Zote........


》》》Hivyo hawawezi kutumia akili ambazo ktk hali halisi hawana hizo akili.....

》》》》》
 
Yan mtu Mzimaa anatolewa kibistolaa kidogo analaaalaaamaaaa weeeeee utadhan kitu Gan tena anasukumiwa kwenye gari yenye kiyoyozi. Wale wengine wanatokezewaga na mibunduki mibomu ya machozi matake mengi mitama ukishasulubiwa unarushwa kwenye pikapu pendwa wazee wanajitundika katika mabomba safari inaanza kuelekea sehemu pendwa kupumzishwa mpaka siku mbili tatu unaenda kutokea kisutu kwa mdhamana kesi ya kufanya mkusanyiko bila kibali.
 
Kwani alitaka kupindua nchi au kuvunja amani nchini!?

Imefika muda watu tuache kufatilia issue za Mh. Makonda, tumuache afanye kazi yake vizuri na Mh Rais wetu pia alitumikie taifa.

Nape huyo atapangiwa kazi ingine ikipatikana kujua itakayomfaa na pia mambo yakipoa, kuna gemu na leo ndio mipango yao imeishia hapo.

Ilibidi nyie wananchi mbaki mnayaongelea, ha ha haaaaaaaa


Movie ya Nape baada ya kunaswa mchezo wake Junatatu, imebidi tu aimalizie kwa kuwaomba iishe hivi. Ndio maana hajatamkwa kwenye Barua kuwa yeye vipeeeee.

Hivyo Nape kapata kuondoka na bonge la plan aliyomuomba Rais au RC wa Dar apate leo, nanyi wananchi mmefurahia na kumuombea huruma na ndilo hiyo movie mmepewa.

Future ya madaraka, jina libaki kwenye midomo yenu. Na hivi wengi hamjifikirishi basi tena, wachache tu ndio watakuwa wamedaka gemu.


Nimempenda Rais kwa kumuacha asogee pembeni kwa style yake, bila kumuongelea kwa maneno mengi or kumtumbua live.


Mungu ibariki Tanzania.

Makonda oyeeeee
 
Nimecheka sana
 
Tanzania ya viwanda vya kutishiana ukiongea ukwel unatumbuliwa na ukitisha press confers unatolewa bastola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…