Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari

Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari

Dah imeumiza japo simpendi Ila wamemkosea heshima wangempigia simu tuu
Kiukweli hata Mimi nilikuwa simpendagi kihivyooo. Ila imeniuma....ushauri..
Usijione upo karibu na mtu mkubwa ukalewa madaraka siku ya siku inakuwa hivyo.
Anyway...
Pole nape
 
CCM hatuhitaji nape aseme ndio tujue mlichakachua matokea, hilo liko wazi kama jua lilivyowazi huwezi kulificha.
 
ila jamaa fala sana....cjui kaishia la saba mtu kaomba id ww unatoa bastola? kulukua na uhitaji gani wa kufanya ivo? why ajinyeshe kwny media kiadi icho?
Ni ajabu, hapakuwa na umuhimu wa kutoa bastola angejitambulisha tu afanye icho alichotumwa kufanya.
 
Mbona matumizi ya silaha za moto yanataka kushika hatamu awamu hii?
 
Hii sijui ni movie gani?mana stelingi kafa kubwa LA maadui limekufa lakini MOVIE BADO INAENDELEA..mama watoto leta popcorn
 
Anapoipeleka hii nchi baba jesca kuna sehemu itafika atatamani Ku undue au kurewind but hiyo option haitakuwepo tena
 
Bila kuwepo waandishi wa habari leo kuna mtu ilikuwa auwawe.
Kabisa,
Mungu wangu.
Nchi imeingiliwa.
Jamani jamani kweli Nape anafanyiwa hivi!!!!!
Tume huru idaiwe mapema Tanzania.
Kwahiyo jamaa alikuwa anataka kumuua Nape
 
Back
Top Bottom