Nape Nnauye: Hakuna kumung’unya maneno, hatuwezi kufungua mlango wa laana kuruhusu mapenzi ya jinsia moja

Nape Nnauye: Hakuna kumung’unya maneno, hatuwezi kufungua mlango wa laana kuruhusu mapenzi ya jinsia moja

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema “Hakuna sababu ya kumung’unya maneno, hatuwezi kufungua mlango wa laana kuruhusu Ushoga, usagaji, mapenzi ya jinsia moja.”

Mpaka sasa mmekamata wangapi!!!!! mbona wapo mitaani wanajishebedua hadi mitandaoni, wakati sheria dhidi ya ngono ya jinsia moja (anti sodomy laws) zipo tangu enzi ya mkoloni kuongea tu kuwa hamtaruhusu wkt hamuwachukulii hatua za kisheria ni utata.
 
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema “Hakuna sababu ya kumung’unya maneno, hatuwezi kufungua mlango wa laana kuruhusu Ushoga, usagaji, mapenzi ya jinsia moja.”

Kuna wakati saa mbovu, husema Kweli.

Hizo NG'O s zifutwe, kutamka USHOGA hauna nafasi wakati Kuna NG'O zimesajiliwa kueneza USHOGA na usagaji tena Kwa watoto mashuleni,

Hatua Kali zaidi zinahitajika.
 
Back
Top Bottom