Raja Casablanca
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 706
- 368
Mmmmhhhh . . . . . . .siasa hizi bwana, tuwaachie wenye nazo tu maana sisi huku mtaani tunabishana weeeeeh afu jamaa wanapeana mikono magogoni na makamera kibaoAlimcheka mamba kisa kavuka mto hakujua kuna simba anamsubili nchi kavu
Waliomfikisha hapo ni akina nani???Hamna kitu ndugu, ukomavu angeuonyesha kwa waliomfikisha hapo alipo.
Hongera kwa kujua kusoma na kuandika
Nape kwenda ku-kneel down CHADEMA wamemshauri nadhani😄😄😄😄😄Hee hee. Mnaanza kuhamisha magoli sasa. Hata aibu hamna. Mimi nilishawambia huu mtindo wa upinzani wa kushabikia mtu yeyote anayempinga rais Magufuli utazidi kuwaporomosha. Hawakujifunza kwa kina Lowassa, Wema na wengineo wengi? Chadema wataishia kutumika kama choo tu. Subirini na Nyalandu ni muda tu atawatoroka.
Pole kwa kuondolewa marindahongera kwa jitihada za kutafuta mume
jiwe anamuhitaji nape, nape anamuhitaji jiwe hapo 2020, lakini kaa vile umenena ccm haitegemei saduku la kura kusinda ni wizi wa ajabu sana, na ndio tz itabaki one of the poorest country in this worldMagu anamuhitaji Nape kwasababu anahitaji kura za watu wa kusini, na Nape nae anamuhitaji Magu ili ajiweke katika nafasi nzuri ya jina lake kupita kama mgombea 2020.
In short,kila mtu hapo anamuhitaji mwingine kuelekea 2020.
Ni kweli tunajua CCM hawategemei sanduku la kura kushinda, ila ni ukweli pia wangependa zaidi washinde kupitia sanduku la kura.
Point ni kuwa mwisho wake haukuwa mzuri, who gives a damn nani alimtoa madarakani?
Hapo ni kuonyesha kuwa inafika time mbabe ubabe wake unamtokea puani.
tulia wewe ambaye kaka ako sio rais
Binafsi nilichokiona kwenye video Magu’s psyche kwa sasa ni ya dictator tena sio ya watu kama kina Putin, Xin Jing Ping au hata Museveni; maana hawa kidogo wana aibu kwenye camera.
Magu keshalewa pombe anayokunywa Kagame amekuwa arrogant anajua ni mwenye nguvu na aogopi kuzitumia kwa mtu atakae ingia anga zake au kuwatisha watakao jaribu.
That is scary going forward, inawezekana kuna watu kwa sasa wana bite their tongues kwa kuheshimu mihula miwili ya uraisi things which I agree.
Hila muhula wa pili akiachiwa aende kama awamu ya kwanza this man is a run away train.
Dr Magufuli siyo mwanasiasa ni " Mtumishi" wa umma.......wapendwa wananielewa hapa!
Pole kwa kuondolewa marinda
Sorry ni Bavichaa au mavichaa!Mabavicha yatajinyonga sasa
Sorry ni Bavichaa au mavichaa!Mabavicha yatajinyonga sasa