Nape Nnauye kama January Makamba, maji ya shingo yamfika. Amuangukia Rais Magufuli baada ya kumnanga

Nape Nnauye kama January Makamba, maji ya shingo yamfika. Amuangukia Rais Magufuli baada ya kumnanga

Alimcheka mamba kisa kavuka mto hakujua kuna simba anamsubili nchi kavu
Mmmmhhhh . . . . . . .siasa hizi bwana, tuwaachie wenye nazo tu maana sisi huku mtaani tunabishana weeeeeh afu jamaa wanapeana mikono magogoni na makamera kibao
 
wakati Mzee Mwinyi anasema waliofanya hivyo ni utoto wengi hawakumuelewa na wengine wakamkebehi ila kadri siku zinavyoenda ndivyo mambo yanavyokuwa wazi hawa kina nape, makamba ni watu walioingia kwenye uongozi kwa kupitia connection za baba zao ila kichwani wako empty walijiona wao ni think tank ya taifa, wao ndio wanastahili kuwa viongozi haya ndio matokeo yake lakini pia ccm inabidi ijifunze kuandaa vijana wao kuwa viongozi wa baadae badala ya kuamini degree ama kubebana na hayo ndio matokeo yake
 
Safi sana Nape, kuomba Msamaha sio udhaifu bali ni ukomavu wa Kisiasa. Naamini utarudishwa tena Kikosi cha I
 
Hee hee. Mnaanza kuhamisha magoli sasa. Hata aibu hamna. Mimi nilishawambia huu mtindo wa upinzani wa kushabikia mtu yeyote anayempinga rais Magufuli utazidi kuwaporomosha. Hawakujifunza kwa kina Lowassa, Wema na wengineo wengi? Chadema wataishia kutumika kama choo tu. Subirini na Nyalandu ni muda tu atawatoroka.
Nape kwenda ku-kneel down CHADEMA wamemshauri nadhani😄😄😄😄😄
 
Nimeona Rais kaongea kwa hekima sana na hisia Kali,ameonyesha hisia zake nimependa maneno ya hekima aliyotumia,sijawahi kumuona mheshimiwa Rais akijawa na hekima kama maneno aliyoyatoa kuhusu suala Nape,huko mbele unaweza kubadilika.
 
Magu anamuhitaji Nape kwasababu anahitaji kura za watu wa kusini, na Nape nae anamuhitaji Magu ili ajiweke katika nafasi nzuri ya jina lake kupita kama mgombea 2020.

In short,kila mtu hapo anamuhitaji mwingine kuelekea 2020.

Ni kweli tunajua CCM hawategemei sanduku la kura kushinda, ila ni ukweli pia wangependa zaidi washinde kupitia sanduku la kura.
jiwe anamuhitaji nape, nape anamuhitaji jiwe hapo 2020, lakini kaa vile umenena ccm haitegemei saduku la kura kusinda ni wizi wa ajabu sana, na ndio tz itabaki one of the poorest country in this world
 
MAGUFULI NA NAPE.jpg


Who's next...........................................
 
Point ni kuwa mwisho wake haukuwa mzuri, who gives a damn nani alimtoa madarakani?
Hapo ni kuonyesha kuwa inafika time mbabe ubabe wake unamtokea puani.

The point is hatulewa na wapinzani,alitolewa na wapenda vita wenzake.

Kwani Sankara alikosea nini hadi akatolewa madarakani kwa style ile.
 
Binafsi nilichokiona kwenye video Magu’s psyche kwa sasa ni ya dictator tena sio ya watu kama kina Putin, Xin Jing Ping au hata Museveni; maana hawa kidogo wana aibu kwenye camera.

Magu keshalewa pombe anayokunywa Kagame amekuwa arrogant anajua ni mwenye nguvu na aogopi kuzitumia kwa mtu atakae ingia anga zake au kuwatisha watakao jaribu.

That is scary going forward, inawezekana kuna watu kwa sasa wana bite their tongues kwa kuheshimu mihula miwili ya uraisi things which I agree.

Hila muhula wa pili akiachiwa aende kama awamu ya kwanza this man is a run away train.

Unamlinganisha Kagame na Magu kwenye ubabe?hahahah aiseeee

Kagame hua hana mchezo wala hua hajui mambo ya kusamehe eti aseme tu roho imeniuma lkn nimesamehe.

Anachojua yeye ni Lugha ya bunduki tu huyo Nape,Makamba,Ngeleja wangekua wamepewa kati ya adhabu zifuatazo mpk sasa kupigwa chuma,ajali ya gari,kupigwa sumu au wakionewa huruma sana house arrest ingewahusu.

Yaani mtu kupewa kaadhabu kakutembea kutoka geti la ikulu mpk kuingia ndani na kisha Nape kupiga picha akiongea na rais kwa kujinyenyekeza kinafiki ndo mnaona bonge la adhabu?hahahah
 
Dr Magufuli siyo mwanasiasa ni " Mtumishi" wa umma.......wapendwa wananielewa hapa!

Mwaka 1986 wakati M7 anachukua madaraka alisema yeye ni mtumishi wa Umma mwaka 2017 alisema yafuatayo.

I am not an employee. I hear some people saying that I am their servant; I am not a servant of anybody. I am a freedom fighter; that is why I do what I do. I don’t do it because I am your servant; I am not your servant.
 
Itawachukua miaka mingi Sana watz kuwaelewa ccm. Kwa muda wote huu was miaka minne zimechezwa game nyingi Sana kupata attention, hii nayo ilikuwa moja ya zile sinema.now that we are approaching election, it's time to get together and rejoice the king of the jungle tz na kuziondoa zile myths zilizotengenezwa.
 
Back
Top Bottom