Unamlinganisha Kagame na Magu kwenye ubabe?hahahah aiseeee
Kagame hua hana mchezo wala hua hajui mambo ya kusamehe eti aseme tu roho imeniuma lkn nimesamehe.
Anachojua yeye ni Lugha ya bunduki tu huyo Nape,Makamba,Ngeleja wangekua wamepewa kati ya adhabu zifuatazo mpk sasa kupigwa chuma,ajali ya gari,kupigwa sumu au wakionewa huruma sana house arrest ingewahusu.
Yaani mtu kupewa kaadhabu kakutembea kutoka geti la ikulu mpk kuingia ndani na kisha Nape kupiga picha akiongea na rais kwa kujinyenyekeza kinafiki ndo mnaona bonge la adhabu?hahahah
Tukio zima lililenga kumdhalilisha Nape.
Umejiuliza Ikulu walikuwa wana sababu gani za kumuonyesha Nape akitembea kutoka getini mpaka kufika mjengoni? Kwanini wasingemuonyesha tu akiwa amekutana na raisi.
Isitoshe ninaposema kalewa pombe ya Kagame aina maana atafanya kila kitu exactly as his master.
Tanzania is not Rwanda and he will not get away easily na kauli za kusema atawashughulikia wabaya wake au vitisho vya waziwazi.
Mwisho kabisa nilicholenga kusema sio mambo ya ukatili, bali psychology ya Magu kwa sasa and how he perceives himself.
Political power is the ability to make people do things otherwise they wouldn’t do. Yeye kama raisi anajua anazo hizo power.
Ukisema tu Nape kaja kuniomba msamaha inatosha, una sababu ya kutuelezea alikuwa desperate sijui kaenda kwa nani na kwa nani sikua tayari.
Na hata huo msamaha wenyewe kwa story ya Magu ni kama vile out of pity, lakini si kwamba alikuwa tayari kupokea ombi lake willingly.
That is just an arrogant person, with high self-importance regards to himself.
And if you bother to research the personality of dictators. The trait begins to evolve when leaders think they are special, Magu is on that phase.
Asilimia kubwa ya maraisi duniani wana power kubwa tu, but they don’t go bragging publicly.