Nape Nnauye kama January Makamba, maji ya shingo yamfika. Amuangukia Rais Magufuli baada ya kumnanga

Nape Nnauye kama January Makamba, maji ya shingo yamfika. Amuangukia Rais Magufuli baada ya kumnanga

Nape hana ujanja nje ya CCM.
Amebakia ndani kutafuta nini?
Au anasubiri mkono uanguke ili aumeze kama fisi katika the God Must be Crazy
 
Yeye na Bashite hawawezi ajiriwa wala kujiajiri. Siasa ndo inayowaweka mjini.

Tena siyo inayowaweka mjini bali inayowaweka DUNIANI bila siasa kwa hao wawili hakuna Maisha period.
 
Hii inaonesha Tanzania tuna watu wa wanamna gani! Jinsi gani watu walivyo vigeugeu wasiyo jua wanacho simamamia na hao ndiyo viongozi wetu, dah! Nawaonea huruma sana mnao panga foleni kwenda kuwachagua hao wanao itwa viongozi.
Kumkejeri kiongoz wako na kumpiga majungu sijambo zur tena kiongoz wako mkuu wa chama na nchi , kama alikuwa akubaliani na stairi ya uongoz wa magufur ange kaa kimya magufur kipindi chake kitaishi tu.
 
Unamlinganisha Kagame na Magu kwenye ubabe?hahahah aiseeee

Kagame hua hana mchezo wala hua hajui mambo ya kusamehe eti aseme tu roho imeniuma lkn nimesamehe.

Anachojua yeye ni Lugha ya bunduki tu huyo Nape,Makamba,Ngeleja wangekua wamepewa kati ya adhabu zifuatazo mpk sasa kupigwa chuma,ajali ya gari,kupigwa sumu au wakionewa huruma sana house arrest ingewahusu.

Yaani mtu kupewa kaadhabu kakutembea kutoka geti la ikulu mpk kuingia ndani na kisha Nape kupiga picha akiongea na rais kwa kujinyenyekeza kinafiki ndo mnaona bonge la adhabu?hahahah
Tukio zima lililenga kumdhalilisha Nape.

Umejiuliza Ikulu walikuwa wana sababu gani za kumuonyesha Nape akitembea kutoka getini mpaka kufika mjengoni? Kwanini wasingemuonyesha tu akiwa amekutana na raisi.

Isitoshe ninaposema kalewa pombe ya Kagame aina maana atafanya kila kitu exactly as his master.

Tanzania is not Rwanda and he will not get away easily na kauli za kusema atawashughulikia wabaya wake au vitisho vya waziwazi.

Mwisho kabisa nilicholenga kusema sio mambo ya ukatili, bali psychology ya Magu kwa sasa and how he perceives himself.

Political power is the ability to make people do things otherwise they wouldn’t do. Yeye kama raisi anajua anazo hizo power.

Ukisema tu Nape kaja kuniomba msamaha inatosha, una sababu ya kutuelezea alikuwa desperate sijui kaenda kwa nani na kwa nani sikua tayari.

Na hata huo msamaha wenyewe kwa story ya Magu ni kama vile out of pity, lakini si kwamba alikuwa tayari kupokea ombi lake willingly.

That is just an arrogant person, with high self-importance regards to himself.

And if you bother to research the personality of dictators. The trait begins to evolve when leaders think they are special, Magu is on that phase.

Asilimia kubwa ya maraisi duniani wana power kubwa tu, but they don’t go bragging publicly.
 
Usikute aliwalipa hela wafanye hivyo ccm inalaana
Eti Nape ndio yule alienda huko jimboni kwake wakina mama wakalitandikia Kanga barabarani na wakalala chini eti lipite mgongoni kwao eti lijamaa likawa linajiliza machozi eti huu ni upendo sijawahi kuuona hahah.
 
Write your reply...Bado msamaha wa kinafiki wa Nape kwa jiwe hauwezi kubatilisha ushamba wa magufuri.
 
Hakuna mwanaccm mwenye ujasiri na uwezo wa kusimamia anachokiamini.

Usikute huyo kaka yake mwenyewe nae ameshawekwa kati kitambo tu anasubiri siku ya kutangazwa aende ikulu akapige picha akiomba msamaha kwa unyenyekevu huku akimuita Magu Baba,hahah.
 
Nape amefanya alichostahili. Huyo jamaa ni mwenyekiti na rais wa nchi . ana uwezo wa kihalali na hata kihalifu (unaolindwa au usiolindwa na sheria) wa kumshughulikia yeyote anayeamua kumshughulikia.
 
Siyo kama tunamkuza hebu angalia alichojibu baada ya ile sauti kuachiwa... pia fananisha na alichojibu Nape.
Membe mnamkuza sana kuliko uhalisia. Kwanini asiombe radhi? Tena Membe atatakiwa kutembea kwa miguu kutoka Mbweni hadi Magogoni.
 
Goti limepigwa. Next reshuffle Nnape ndani ya Baraza. Akina mzee Kinana na Makamba wajiandae assets zao kushambuliwa. Huyu ndie Jiwe - mzee wa kusifiwa na kuabudiwa
 
Back
Top Bottom