Nape Nnauye kama January Makamba, maji ya shingo yamfika. Amuangukia Rais Magufuli baada ya kumnanga

jamaa kadukuliwa tena this time not voice-note but virtually
 
Kumekucha
Kumbe madaraka matamu ....

2019/2020 tunashuhudia watu wakielekea (śp' mazabauni)
 
Mmepanic nyie hamkutegemea acha muisome namba sasa
Sio wote wanaoweza kuisoma Namba brooo wengne hata neno chama cha siasa hatujui, tunakula na kuishi kwa kumtumikia MUNGU na kutumia nguvu zetu, wanaosoma Namba ninyie mnaohangaika kwenye siasa na ninachoamini hata wewe utakuwa umetoka kuisoma Namba ndio maaana unahangaika na hayo maneno baada Ya muda wako kufika na kutokana na mchezo wa siasa kuna kipindi pia utageuka utaisoma Namba hilo halikwepeki ndio Maaana Mimi Sitaki hata Mtoto wangu ahusike kwenye siasa
 
Kaamua kusugua Gaga kashindwa ligi na Bashite! Dah kweli safari bado in ngumu hakuna mkate jeuri mbele ya chai
 
Hii maana yake nini.. Bado Membe... Kinana na Makamba.

Wacha tuendelee subiri.
 
Siasa ni ngumu sana, hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu katika uwanja wa siasa, ngoja tuone busara ya Membe na comrade kinana katika hili pia, kubwa zaidi Rais kaonyesha ukomavu wa kisiasa na kiimani.
Hamna kitu ndugu, ukomavu angeuonyesha kwa waliomfikisha hapo alipo.
 
Nahisi kuna mtu nyuma ya pazia ana engineer reconciliation.hii ni kumblock aliye shika mpini asiwachinjilie mbali vijana wao,ndiyo maana leo ni mara ya pili kuna mtu analalamika kusamehe kunauma. Lazima alijiandaa kuwadhuru sasa kinamuuma maandalizi tote yanaenda bure
Hii ni safi ila aangalieni musiba aside kosa kazi kwani kila kinachotokea ni fursa kwa mtu.
 
Tumeipenda wenyewe ngii ngii,
chaguo letu wenyewe ngii ngii,
nawavimbe wapasuke ngii ngii,
watajijua wenyewee ngii ngii,

waacheni waisome nambaaaa

lala lala lala lalaaaaaaa.................

1, 2, 3 sauti ya nne benchi la mwisho twendeeee............


Futuhii.......ndioo ni futuhiiiii....
 
Mahali ni pazuri ndugu wanapokaa na kupatana vema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…