Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Mwigamba mbona alifukuzwa chadema? Au umesahau?Ukweli ni kwamba walikuwa hawafukiziki maana walitumia mbinu za kurekodi bila kufuata sheria ingekuwa wamefuata sheria au kama wangesema hadharani wangeshafukuzwa. Magu sio mvumilivu hivyo alikuwa hana namna.
Kwa hyo hhwa CCM hawaibi kura??Kura za watu wa kusini zinahusika hapa.
Mizizi gani, tume ya kwake angeshindwa nini
Nmeshangaa sanaKuna kuomba msamaha na kuna kusamehe...
kitendo tu cha kuomba msamaha mbele ya TV ni kuzidi kudhalilishwa
mioyo ingekuwa ina vioo tungeona mengi ya ajabu...
mtu akikushikia bunduki lazima umuombe msamaha na wala sio lazima umaanishe
Ni mipango Ya kumdhalilisha ilipangwa hivyo, na yeye alimtukana rais kwa sababu gani? Ngoja ale jeuri yake Leo tumemfanya futuhi na bado tutahakikisha kuwa hapati ubungeMbona ameshukia mbali na makaz ya Rais akaanza kutembea kwa miguu? Uku tunaonaga wageni wengine wanashushwa mbaka karibia na ngazi za kuingia ndani ikulu.
Boda boda siku hizi haziruhusiwi mjiniMbona ameshukia mbali na makaz ya Rais akaanza kutembea kwa miguu? Uku tunaonaga wageni wengine wanashushwa mbaka karibia na ngazi za kuingia ndani ikulu.
Sawa yeye kaogopa kuwafukuza, na wao pamoja na mizizi hiyo waliyonayo wameshindwa kujiondoa?
Ana hatari gani?Ukitaka kula na kipofu usimshike mkono , Membe ni hatari sana !
Hatuwezi mpima Kwa machache pia uchaguzi u karibu.Tabia ya MTU Asili.
Akiwasamehe wazee wa escrow, mashehe wa uhamsho,mkwe wa Lowasa,na wote wanaooza ndani mwaka wa NNE sasa ni rahisi kuamini hivo.
Kwa uchacheWe umewaona ao ndo wana aki yakusamehewa, kwani kwenye mahakama zote nchin watuhumiwa ni mashee , wa zee wa escow peke yao wanaozea ndani?